msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,285
- 2,969
Tena wapitishe hata kujiimbia vijimbo vya asili harusi iwe kulipia siyo kujiimbia tu nyimbovya bure vyaua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wapitishe hata kujiimbia vijimbo vya asili harusi iwe kulipia siyo kujiimbia tu nyimbovya bure vyaua
Nyimbo za kinaija na South Africa ni nyingi mnooo zinatosha sana kuamsha sherehe mixer na masebene. AsituchosheWaziri juzi kasema MC anayetumia nyimbo kusherehesha harusi n.k. nao watachajiwa wamlipe aliyeimba.. yaani wakipiga tu nyimbo ya msanii watalipa..
Kasema wanalipwa mamilioni kwa kazi moja na walioimba hawapati chochote..
Kasema hili wanalipanga kwa sasa ili lije lianze..
Ni kweli hujui ....
Na ndo wanaenda kuua mziki kimya kimyaNaona kwenye sherehe za Bongo zitakuwa zinapigwa nyimbo za nje tu