Uchaguzi 2020 Msanii T.I.D aitaka CHADEMA imlipe kwa kutumia neno "Ni Yeyee" kwenye kampeni zao

Maneno yote anayotumia akitumia lugha fulani ni ya kwake?
 

Ubunifu wako ni kutumia madawa ya kulevya...hivi hizo nyimbo zoote unazoimba copy umepewa rights na watungaji wake? acha kutumika na Bashite
 
Kuhusu ubunifu ni kweli yeye ndiye kalianzisha tatizo ni kama hana hatimiliki na hilo neno.

Kama kitu hakina hatimiliki ni unamaanisha kipo open kwa yeyote anayetaka kukitumia.
Alianzisha lini?
 
Uchawi wa kihindi unammaliza
 
Haya ni mawazo yako au ni hukumu ya hiyo kesi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…