Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Wakuu
Tusimame pamoja tupaze sauti tusiyakalie kimya haya yanayoendelea, kama jirani yako hayupo salama ina maana hata wewe haupo salama.
===
Msanii wa muziki Vitali Maembe ametoa wimbo kupinga mauaji yanayotokea na watu kutekwa afrika Mashariki unaoitwa "KIMYA''
na kuambatisha ujumbe kwenye Youtube channel yake unaosomeka;
"Kumekuwa na matukio ya Watu kutekwa na wengine kuokotwa wakiwa wamefariki ndani ya hii Afrika ya Mashariki, inatupasa kuvunja ukimya ili tulinde thamani ya utu.
Ukimya ni ukatili zaidi ya ukatili uliofanywa na ukaukalia kimya.Maisha yetu huanza kuisha siku tunaponyamaza kuhusu mambo muhimuKupuuza uovu ni kuambatana nao"