PreGE2025 Msanii Vitalis Maembe aja na wimbo mpya kuhusu matukio ya utekaji na watu wasiojulikana, asema hakuna kukaa kimya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Watu wanachukulia poa haya mambo ya mtu kupotea. ni ya kawaida ukiyasikia kwa mtu. Ila ukiwahi kuwa karibu na watu waliopatwa na hizo kadhia utajua uchungu. na hutaweza kufumbia macho eti kisa wew ni chawa wa viongozi. ukweli usemwe.
 
Anatatafuta umaarufu tu hakuna lolote.,,, nani anamjua huyo maembe ?

Key figures kama kina diamond , ali kiba , harmonize ndio wanatakiwa kuimba zaga kama hizo
Anatafuta umaarufu? Hivi huwa mna reason kwa kutumia nini? Mbona huwa mnajadili vitu mbali kabisa na ujumbe wa msingi alioutoa huo mwandishi au unaotolewa na wapambania haki.

Yani huwa mnajikita na vitu useless kabisa
 
Watu wanachukulia poa haya mambo ya mtu kupotea. ni ya kawaida ukiyasikia kwa mtu. Ila ukiwahi kuwa karibu na watu waliopatwa na hizo kadhia utajua uchungu. na hutaweza kufumbia macho eti kisa wew ni chawa wa viongozi. ukweli usemwe.
Inahuzunisha sana
 
Anatafuta umaarufu? Hivi huwa mna reason kwa kutumia nini? Mbona huwa mnajadili vitu mbali kabisa na ujumbe wa msingi alioutoa huo mwandishi au unaotolewa na wapambania haki.

Yani huwa mnajikita na vitu useless kabisa
Who cares ? Tunahitaji key figures wawe front line kutetea haki za raia, na kupinga na kuonya khs utekaji
 
Wakuu

Tusimame pamoja tupaze sauti tusiyakalie kimya haya yanayoendelea, kama jirani yako hayupo salama ina maana hata wewe haupo salama.

===

Msanii wa muziki Vitali Maembe ametoa wimbo kupinga mauaji yanayotokea na watu kutekwa afrika Mashariki unaoitwa "KIMYA''

na kuambatisha ujumbe kwenye Youtube channel yake unaosomeka;

"Kumekuwa na matukio ya Watu kutekwa na wengine kuokotwa wakiwa wamefariki ndani ya hii Afrika ya Mashariki, inatupasa kuvunja ukimya ili tulinde thamani ya utu.

Ukimya ni ukatili zaidi ya ukatili uliofanywa na ukaukalia kimya.Maisha yetu huanza kuisha siku tunaponyamaza kuhusu mambo muhimuKupuuza uovu ni kuambatana nao"

View attachment 3366646
Mfungwa no 2045
 
Ukimya ni ukatili zaidi ya ukatili uliofanywa na ukaukalia kimya.Maisha yetu huanza kuisha siku tunaponyamaza kuhusu mambo muhimuKupuuza uovu ni kuambatana nao"😩🤔😭
 
Gentleman kazi yako ni noma kusifia tu hata wakitaka m.. utawasifia tu
ndio,
huyo msanii alikuja vizuri mno kwenye sanaa, akiwa chuo cha sanaa bagamoyo mimi nilikua napiga shule bagamoyo high school, na alikuja kuperfom pale vizuri sana enzi hizo sumu ya teja iko kwenye pick, alikuja na mzee wa mjegeje ambae ni marehemu kwa sasa,

but alipoanza kupambana na mamlaka, akaanza kukutana na failures kibao kwenye sanaa yake, alipojiunga ACT ndio akapoteza fans wengi mno,
.Saaa hivi anaonekana ni msanii khalankhancha tu 🐒
 
huyu msanii alikuja vizuri sana miaka ile ya 2000s, but akapotea kwa mistake moja tu ya kijinga sana,

kupambana na mamlaka, sasa kila sanaa anayoitoa inaonekana ni useless na completely nonsense tu.

itaskizwa na kusifiwa na malofa wa chache siku moja au mbili na itapotea kama ile nonsense ya no reform no elections 🐒
Chawa, kupe
 
Wakuu

Tusimame pamoja tupaze sauti tusiyakalie kimya haya yanayoendelea, kama jirani yako hayupo salama ina maana hata wewe haupo salama.

===

Msanii wa muziki Vitali Maembe ametoa wimbo kupinga mauaji yanayotokea na watu kutekwa afrika Mashariki unaoitwa "KIMYA''

na kuambatisha ujumbe kwenye Youtube channel yake unaosomeka;

"Kumekuwa na matukio ya Watu kutekwa na wengine kuokotwa wakiwa wamefariki ndani ya hii Afrika ya Mashariki, inatupasa kuvunja ukimya ili tulinde thamani ya utu.

Ukimya ni ukatili zaidi ya ukatili uliofanywa na ukaukalia kimya.Maisha yetu huanza kuisha siku tunaponyamaza kuhusu mambo muhimuKupuuza uovu ni kuambatana nao"

View attachment 3366646
Weka link ya YouTube achana na hiyo downloaded video tumsapoti
 
huyu msanii alikuja vizuri sana miaka ile ya 2000s, but akapotea kwa mistake moja tu ya kijinga sana,

kupambana na mamlaka, sasa kila sanaa anayoitoa inaonekana ni useless na completely nonsense tu.

itaskizwa na kusifiwa na malofa wa chache siku moja au mbili na itapotea kama ile nonsense ya no reform no elections 🐒
FB_IMG_1749139137988.jpg
 
Back
Top Bottom