Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
wakati wote, hawawezi kumnyamazisha kila mtuSafi sana, ukweli lazima usimame kama mlima.
Hawawezi kumaliza kila mtuAtatekwa muda siyo mrefu
Kwa sasa hawawezi kuwa na chaguzi tena ya nani wadeal naye na ni nani wamuache , kama ni maji yamewafika shingoni , wana tapatapa tu.!wakati wote, hawawezi kumnyamazisha kila mtu
huyu msanii alikuja vizuri sana miaka ile ya 2000s, but akapotea kwa mistake moja tu ya kijinga sana,Wakuu
Tusimame pamoja tupaze sauti tusiyakalie kimya haya yanayoendelea, kama jirani yako hayupo salama ina maana hata wewe haupo salama.
===
Msanii wa muziki Vitali Maembe ametoa wimbo kupinga mauaji yanayotokea na watu kutekwa afrika Mashariki unaoitwa "KIMYA''
na kuambatisha ujumbe kwenye Youtube channel yake unaosomeka;
"Kumekuwa na matukio ya Watu kutekwa na wengine kuokotwa wakiwa wamefariki ndani ya hii Afrika ya Mashariki, inatupasa kuvunja ukimya ili tulinde thamani ya utu.
Ukimya ni ukatili zaidi ya ukatili uliofanywa na ukaukalia kimya.Maisha yetu huanza kuisha siku tunaponyamaza kuhusu mambo muhimuKupuuza uovu ni kuambatana nao"
View attachment 3366646
NakubaliKwa sasa hawawezi kuwa na chaguzi tena ya nani wadeal naye na ni nani wamuache , kama ni maji yamewafika shingoni , wana tapatapa tu.!
Nimeona kwenye video....Noah imebeba watoto, walipofika kwenye maji mengi( Mto au bahari) wakamkamata mmoja wakamzamisha majini.Wakuu
Tusimame pamoja tupaze sauti tusiyakalie kimya haya yanayoendelea, kama jirani yako hayupo salama ina maana hata wewe haupo salama.
===
Msanii wa muziki Vitali Maembe ametoa wimbo kupinga mauaji yanayotokea na watu kutekwa afrika Mashariki unaoitwa "KIMYA''
na kuambatisha ujumbe kwenye Youtube channel yake unaosomeka;
"Kumekuwa na matukio ya Watu kutekwa na wengine kuokotwa wakiwa wamefariki ndani ya hii Afrika ya Mashariki, inatupasa kuvunja ukimya ili tulinde thamani ya utu.
Ukimya ni ukatili zaidi ya ukatili uliofanywa na ukaukalia kimya.Maisha yetu huanza kuisha siku tunaponyamaza kuhusu mambo muhimuKupuuza uovu ni kuambatana nao"
View attachment 3366663
Kwa kosa gani?Haitapita wiki lazima wampe kesi huyu
Am sorry mwanangu, ila wewe ni mweupe mnoo asee yani sijui unafikiria kwa kutumia nini?huyu msanii alikuja vizuri sana miaka ile ya 2000s, but akapotea kwa mistake moja tu ya kijinga sana,
kupambana na mamlaka, sasa kila sanaa anayoitoa inaonekana ni useless na completely nonsense tu.
itaskizwa na kusifiwa na malofa wa chache siku moja au mbili na itapotea kama ile nonsense ya no reform no elections π
Pumbavu wewehuyu msanii alikuja vizuri sana miaka ile ya 2000s, but akapotea kwa mistake moja tu ya kijinga sana,
kupambana na mamlaka, sasa kila sanaa anayoitoa inaonekana ni useless na completely nonsense tu.
itaskizwa na kusifiwa na malofa wa chache siku moja au mbili na itapotea kama ile nonsense ya no reform no elections π
Kumbe hujui, sometimes kupambana na mamlaka ndio legacy ya kweli ya msanii halisi.huyu msanii alikuja vizuri sana miaka ile ya 2000s, but akapotea kwa mistake moja tu ya kijinga sana,
kupambana na mamlaka, sasa kila sanaa anayoitoa inaonekana ni useless na completely nonsense tu π
Kwani wewe unaona huu wimbo unapambana na mamlaka mkuu? Mbona kama unaunga mkono mamlaka?huyu msanii alikuja vizuri sana miaka ile ya 2000s, but akapotea kwa mistake moja tu ya kijinga sana,
kupambana na mamlaka, sasa kila sanaa anayoitoa inaonekana ni useless na completely nonsense tu.
itaskizwa na kusifiwa na malofa wa chache siku moja au mbili na itapotea kama ile nonsense ya no reform no elections π
Kama hawajaimba wengine wasipaze sauti?Anatatafuta umaarufu tu hakuna lolote.,,, nani anamjua huyo maembe ?
Key figures kama kina diamond , ali kiba , harmonize ndio wanatakiwa kuimba zaga kama hizo
Reflection inahuzunisha sanaNimeona kwenye video....Noah imebeba watoto, walipofika kwenye maji mengi( Mto au bahari) wakamkamata mmoja wakamzamisha majini.
Inasikitisha sana.