PreGE2025 Msanii Vitalis Maembe aja na wimbo mpya kuhusu matukio ya utekaji na watu wasiojulikana, asema hakuna kukaa kimya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Watu wanachukulia poa haya mambo ya mtu kupotea. ni ya kawaida ukiyasikia kwa mtu. Ila ukiwahi kuwa karibu na watu waliopatwa na hizo kadhia utajua uchungu. na hutaweza kufumbia macho eti kisa wew ni chawa wa viongozi. ukweli usemwe.
 
Anatatafuta umaarufu tu hakuna lolote.,,, nani anamjua huyo maembe ?


Key figures kama kina diamond , ali kiba , harmonize ndio wanatakiwa kuimba zaga kama hizo
Anatafuta umaarufu? Hivi huwa mna reason kwa kutumia nini? Mbona huwa mnajadili vitu mbali kabisa na ujumbe wa msingi alioutoa huo mwandishi au unaotolewa na wapambania haki.

Yani huwa mnajikita na vitu useless kabisa
 
Watu wanachukulia poa haya mambo ya mtu kupotea. ni ya kawaida ukiyasikia kwa mtu. Ila ukiwahi kuwa karibu na watu waliopatwa na hizo kadhia utajua uchungu. na hutaweza kufumbia macho eti kisa wew ni chawa wa viongozi. ukweli usemwe.
Inahuzunisha sana
 
Anatafuta umaarufu? Hivi huwa mna reason kwa kutumia nini? Mbona huwa mnajadili vitu mbali kabisa na ujumbe wa msingi alioutoa huo mwandishi au unaotolewa na wapambania haki.

Yani huwa mnajikita na vitu useless kabisa
Who cares ? Tunahitaji key figures wawe front line kutetea haki za raia, na kupinga na kuonya khs utekaji
 
Mfungwa no 2045
 
Ukimya ni ukatili zaidi ya ukatili uliofanywa na ukaukalia kimya.Maisha yetu huanza kuisha siku tunaponyamaza kuhusu mambo muhimuKupuuza uovu ni kuambatana nao"πŸ˜©πŸ€”πŸ˜­
 
Gentleman kazi yako ni noma kusifia tu hata wakitaka m.. utawasifia tu
ndio,
huyo msanii alikuja vizuri mno kwenye sanaa, akiwa chuo cha sanaa bagamoyo mimi nilikua napiga shule bagamoyo high school, na alikuja kuperfom pale vizuri sana enzi hizo sumu ya teja iko kwenye pick, alikuja na mzee wa mjegeje ambae ni marehemu kwa sasa,

but alipoanza kupambana na mamlaka, akaanza kukutana na failures kibao kwenye sanaa yake, alipojiunga ACT ndio akapoteza fans wengi mno,
.Saaa hivi anaonekana ni msanii khalankhancha tu πŸ’
 
Chawa, kupe
 
Weka link ya YouTube achana na hiyo downloaded video tumsapoti
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…