PreGE2025 Msanii Vitalis Maembe aja na wimbo mpya kuhusu matukio ya utekaji na watu wasiojulikana, asema hakuna kukaa kimya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Vitalis namfahamu vizuri sana, tuseme ukweli tu huu wimbo sio mpya aliurekodi na kuutoa zaidi ya miaka 10 iliyopita na kipindi chote hiki uko YouTube
 
sasa kila sanaa anayoitoa inaonekana ni useless na completely nonsense tu.
Aisee,
Ila angesifia ufisadi, wizi, utekaji, ulawiti, mauaji, nk yanayoendelea mngefurahi na ingekuwa sensible??
 
"Ukimya ni ukatili zaidi ya ukatili uliofanywa na ukaukalia kimya.Maisha yetu huanza kuisha siku tunaponyamaza kuhusu mambo muhimu, Kupuuza uovu ni kuambatana nao"
 

Afande usinikamate nitakupa buku sh sabaaaa!!! Sumu ya teja ukonga keko segereaaaaa!! Ukuta Upo utashika Bureeeee!!! Ukurutu bureee vipele bureeeeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…