Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Msanii Vitali Maembe amekamatwa Leo tar 02 November 2021 mjini Bagamoyo. Taarifa za mwanzo zinasema yeye ni msanii mwenye nyimbo zinazoitukana serikali.
Taarifa za mwanzo zinasema yeye ni msanii mwenye nyimbo zinazoitukana serikali.
Tuendelee kuomba Msanii wa Umma aachiwe huru ili kuelimisha Umma.
Pia soma
Taarifa za mwanzo zinasema yeye ni msanii mwenye nyimbo zinazoitukana serikali.
Tuendelee kuomba Msanii wa Umma aachiwe huru ili kuelimisha Umma.
Pia soma
- Uchaguzi 2020 - Vitali Maembe aondolewa kugombea Ubunge Bagamoyo
- Polisi watumia nguvu kutuliza maandamano chuo cha Bagamoyo, Vitali Maembe adakwa
- Barua ya Vitalis Maembe kwa Rais Magufuli
- Vitalis Maembe ni hazina, mashairi yake Yana fikirisha
- Vitalis Maembe: Makonda shika adabu yako, Chuo cha Sanaa Bagamoyo si sawa na wasafi wa nguo
- Ujumbe wa mwanangenzi vitali Maembe kwa msanii Roma
- Video: Ujumbe wa Vitali Maembe kwenye wimbo wa Vuma
- Vitali Maembe - Kudu
- Barua ya Vitali Maembe kwa Rais Jakaya Kikwete