Msanii Vitalis Maembe anadaiwa kukamatwa kwa tuhuma za “kuimba nyimbo za kuitukana Serikali”

Msanii Vitalis Maembe anadaiwa kukamatwa kwa tuhuma za “kuimba nyimbo za kuitukana Serikali”


Namnukuu Gamba la Nyoka November 2011 hapa JamiiForums alitoa bandiko lenye kuhusu kuundwa kwa lugha mpya ya utawala kandamizi wa CCM mithili ya lugha, maneno , misamiati ya newspeak ( George Orwell's book titled 1984) ambapo utawala wa kidikteta utaunda au kupindua maana ya maneno halisi au nahau na kudaiwa ni "matusi', 'kejeli' wataamua kipi kiwe na maana hii au nyingine ili mradi kuwalinda kwa namna yoyote waliopo madarakani

lets take a quick look at how a Newspeak operation works.
In George Orwell's novel, a totalitarian society manipulates its citizens using 'Newspeak'. By controlling how society speaks, the government attempt to control how people can think and express themselves. Learn more about 1984 and over 100 other highlights of world literature in The Literature Book. Source : DK Books

READ MORE : The Unheeded Message of ‘1984’
 
Tunarudi kule kule,
Mama ameanza kuona utamu wa ikulu
 
TAARIFA![emoji3544]

NIMEPOKEA SIMU SASA HIVI KUWA MWANAMUZIKI NA MWANAHARAKATI, KAKA YETU VITALI MAEMBE (Namba yake⁩) AMEKAMATWA NA POLISI JUMANNE JIONI WIKI HII

WALIMUITA KITUO CHA POLISI BAGAMOYO DUNDA AKARIPOTI.

ALIPOENDA JIONI HII NA KUFIKA PALE WAKAMUWEKA NDANI..

WATU WALIOKARIBU WAKAENDA KUFUATILIA WAKAAMBIWA KUWA IMEAGIZWA TOKA JUU AKAMATWE KWA KUWA AMETUKANA SERIKALI KWENYE NYIMBO ZAKE.

SASA WAMEMCHUKUA KWA GARI YA POLISI NA INASEMEKANA WAMEENDA NAYE KIBAHA.

KAMA JUKWAA NAAMINI TUNAWEZA KUFANYA JAMBO. PAAZENI SAUTI ZENU.

Asante
Muiteni mwanamuziki.
SIO "MWANAHARAKATI"
 
Huyu jamaa wamehangaika nae kitambo sana. Kama ni kweli hili limefanyika tena basi Serikali itakuwa imefanya jambo la 'Kipuuzi'
Halafu, ameitukanaje serikali iliyokwishajitukanisha mbele ya umma? Waseme kwamba, Vitalis amekamatwa kwa kumwambia mfalme avae joho jipya.Bathing-suit aliyovaa mfalme inambana.
 
Dah! Tuna serikali ya kipuuzi mno mno! Tuna viongozi wa hovyo sana

Mama anaupiga mwingi, anaiponya Nchi, tumpe nafasi maana Sukuma Gang wanashughulikiwa kila kona ya Nchi hii,tuliteseka sana kipindi cha nyuma.Tumpe Mama muda aponye kabisa majeraha.
 
Mama anaupiga mwingi,anaiponya Nchi,tumpe nafasi maana Sukuma Gang wanashughulikiwa kila kona ya Nchi hii,tuliteseka sana kipindi cha nyuma.Tumpe Mama muda aponye kabisa majeraha.
Hahaha

IMG_20210908_144346.jpg
 
Mama anaiponya Nchi,Sukuma gang wanakomeshwa kabisa[emoji2955][emoji2955]
Binafsi niko very comfortable na mama kuliko nchi ilipokuwa mikononi mwa shetani malaika wa kuzimu.

Issue ya Mbowe Director ni malaika wa kuzimu huyu mama hajainjinia hii kitu ingawa kuna taarifa walimdanganya kwa malengo yao.

Huwezi kufanya comparison kati ya mama na yule malaika wa kuzimu, mama she's far better.
 
Binafsi niko very comfortable na mama kuliko nchi ilipokuwa mikononi mwa shetani malaika wa kuzimu.

Issue ya Mbowe Director ni malaika wa kuzimu huyu mama hajainjinia hii kitu ingawa kuna taarifa walimdanganya kwa malengo yao.

Huwezi kufanya comparison kati ya mama na yule malaika wa kuzimu, mama she's far better.
Angekuwa hahusiki angezungumzia ugaidi wa Mbowe BBC?
 
Tuwekee huo Wimbo unaoitukana Serikali tuutathminishe....!
Namkumbuka huyu Mwamba aliimba 'Sumu Ya Teja Segerea' kama sijakosea.
Wimbo wenyewe ndiyo huu hapa.
 
Back
Top Bottom