TANZIA Msanii wa Bongo Flava, Haitham Kim afariki dunia

Sio shisha tu hata kupenda umalaya nao ni uraibu tutakufa wengi.
 
shenzi sana hawa, wanapost picha wakiogea maziwa ya asas huko insta
Matibabu ni zaidi ya Starehe mkuu, usiseme hivyo kabisa. Kumbuka kwenye Starehe unatumia wakati huo huo unaingiza. Unapopata maradhi huingizi kitu bali unatoa tu.
Hata wewe ukiumwa kufikia mwezi 1 tu maisha yako yanabadilika.

Tumemuona hapa Prof Jay, kama sio huruma ya Mama Samia ilikuwa anarudisha jezi mapema sana, alikosa pesa za matibabu ya uhakika na watu walichanga lkn mpka pale Rais alipotoa tangazo la kumgharamikia.

Ugonjwa sio starehe ndugu yangu. Usitukane watu wala kukashifu kisa amefariki na hakuwa na hela za matibabu, hadi anapatwa na umauti unajua alitumia kiasi gani kwa matibabu achilia mbali huduma zingine muhimu?

Tuache Dharau, sisi ni Binadamu tu. Pumzi yako isikufanye kuwaona waliotangulia mbele za haki kama wazembe.
 
Ni mpumbavu pamoja na wale wenzake wanao fake life kule insta. Kama unakula 5m kwa lunch tu, 700k kwa siku inakushindaje?
Mungu hadhihakiwi
 
Madogo wanavuta sana fegi aisee.

Sijui ni kwanini, bodaboda na bajaji ndo wanaongoza. Wanapiga sana fegi aise kuliko hata hizi pombe kali watu wanavyozolalamikia.

Pombe kali zina matokeo (unalewa), ila sigara hazina matokeo na harufu yake inawahi kupotea. Na ndio maana inaonekana pombe kali zinaharibu vijana lakini hizo shisha mtu haanzi tu kuvuta shisha mara nyingi huwa ni hawa watu ni wavuta fegi hodari ila kubadili radha ndo huanza kuvuta shisha.
 
Nimekugongea Like.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…