TANZIA Msanii wa Bongo Flava, Haitham Kim afariki dunia

TANZIA Msanii wa Bongo Flava, Haitham Kim afariki dunia

Kwamba wewe hutokufa? Pumzi isikudanganye, Kifo ni ukumbusho kwa sie tulio hai, kumwambia Marehem akome kwa kufa ili hali nawe ni marehemu mtarajiwa jitafakari utu wako, huenda kifo chako wewe kikawa cha kidhalili kheir yake amefia hospital pengine huku kazungukwa na wapendwa wake.

Innalillah wainna illah raji'un.
Tatizo wajinga wahisi kifo ni adhabu wakati nature inatulazimisha tuwe udongo
 
Si nimesoma hapa kuhusu wito wa kumchangia huyo Msanii kutoka kwa baadhi ya Wasanii wenzake?

Kama sababu ya kifo chake ni Uraibu wa kuvuta Shisha kama walivyochangia baadhi ya watu hapa Jamvini

Kuna Haja, Vijana wenye huo mtindo wa maisha wakabadirika.

Kumekuwa na wimbi la Vijana wengi wenye umri kati ya miaka 18 - 35 kuvuta sana Shisha.

Kwa kweli kama hazitachukuliwa jitihada thabiti, miaka kadhaa mbele kutakuwa na vifo vingi vitakavyokuwa na Mahusiano na Shisha, Pombe kali n.k
Kwenye Ile thread Kuna mtu alisema hatoboi maana mapafu yameharibika kabisaa Kwa mimoshii
 
Back
Top Bottom