Msanii wa bongo fleva na mwana JF BEIRA BOY Anawatakia kheri ya krismas na mwaka mpya

Msanii wa bongo fleva na mwana JF BEIRA BOY Anawatakia kheri ya krismas na mwaka mpya

Nakumbuka siku ile ya ban mbitiyaza alikwambia kuw utapigwa ban
Kumbe unakumbuka mkuu

Japo ban nilipigwa kesho yake

Mda mwingine huwa tunaonewa sana na hawa wapiga ban
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Msanii wa kizazi kipya BEIRA BABY BOY ambaye yuko chin ya uongoz wa MOBETTO MUSIC View attachment 657976

Pia ni mwana jamiforum anawatakia kheri ta krismas na mwaka mpya

Beira ambaye ngoma yake ya kwanza itatoka tarehe 5 mwez wa kwanza na itatambulishwa na boss wake hamisa mobeto audio itatambulishwa clouds na video itatambulishwa EATV kwa samisago

NAWATAKIA KHER YA KRISMAS NA MWAKA MPYA

LONDON BOY
London Baby

Meneja Wako Anakitumbua Kizur Aithee...!!!
 
Back
Top Bottom