Ney wa Mtego ahojiwa polisi
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kama Ney wa Mitego amehojiwa kituo cha Polisi Kati na kupewa dhamana kufuatia tuhuma zinazomkabili.
Kamanda wa Kanda ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema msanii huyo alihojiwa juzi kituoni hapo na yupo nje kwa dhamana, huku jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi kuhusiana na tuhuma zinazomkabili.
sote tunapajua patamu but its never be public...nahisi kichwa yake inatatizoItakuwa tu ni hilo linyimbo lake la kipumbavu, huyu jamaa afungiwe tu,kazidi..
Sawa, lakini msitangaze mpaka Watoto nao wakimbilie hapo.Pale kati patamu.
Pale kati.Tatizo nini
Sawa.Sawa, lakini msitangaze mpaka Watoto nao wakimbilie hapo.
kwanza wawafunge wakina Mramba,Chenge na TibaijukaHuyu jamaa ni mjinga na mpuuzi sana sijui kwanini serikali haitaki kumfungia kufanya music, anachoimba sijui ni kitu gani