Msanii wa Bongo Fleva, Ney wa Mitego ahojiwa na polisi

Msanii wa Bongo Fleva, Ney wa Mitego ahojiwa na polisi

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
Msanii Bongo Fleva Emmanuel Elibariki "Ney wa Mitego" ahojiwa na Polisi, Kamanda Kanda Maalum Dar Simon Sirro athibitisha leo bila maelezo zaidi.

Ney wa Mtego ahojiwa polisi

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kama Ney wa Mitego amehojiwa kituo cha Polisi Kati na kupewa dhamana kufuatia tuhuma zinazomkabili.

Kamanda wa Kanda ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema msanii huyo alihojiwa juzi kituoni hapo na yupo nje kwa dhamana, huku jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi kuhusiana na tuhuma zinazomkabili.
 
Kafanya nini huyo jamaa?nyimbo yake ya kipumbavu naona inapewa promo sana kitaa
66a191c4124ee57c69da55b547a65281.jpg
 
Itakuwa tu ni hilo linyimbo lake la kipumbavu, huyu jamaa afungiwe tu,kazidi..
 
Ney wa Mtego ahojiwa polisi

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kama Ney wa Mitego amehojiwa kituo cha Polisi Kati na kupewa dhamana kufuatia tuhuma zinazomkabili.

Kamanda wa Kanda ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema msanii huyo alihojiwa juzi kituoni hapo na yupo nje kwa dhamana, huku jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi kuhusiana na tuhuma zinazomkabili.
 
Huyu jamaa ni mjinga na mpuuzi sana sijui kwanini serikali haitaki kumfungia kufanya music, anachoimba sijui ni kitu gani
 
Huyu jamaa ni mjinga na mpuuzi sana sijui kwanini serikali haitaki kumfungia kufanya music, anachoimba sijui ni kitu gani
kwanza wawafunge wakina Mramba,Chenge na Tibaijuka
 
Anacheza na Akili za wadanganyika. Biashara anayofanya kweli inamlipa 100% kuliko huku anakoigiza Music. Kitu kizuri hata mwenyewe anajua kuwa yeye si mwanamuziki!
 
Haya tena kumekucha! Hivi ni kweli pale kati patamu?
 
Back
Top Bottom