Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Msanii Bongo Fleva Emmanuel Elibariki "Ney wa Mitego" ahojiwa na Polisi, Kamanda Kanda Maalum Dar Simon Sirro athibitisha leo bila maelezo zaidi.
Ney wa Mtego ahojiwa polisi
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kama Ney wa Mitego amehojiwa kituo cha Polisi Kati na kupewa dhamana kufuatia tuhuma zinazomkabili.
Kamanda wa Kanda ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema msanii huyo alihojiwa juzi kituoni hapo na yupo nje kwa dhamana, huku jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi kuhusiana na tuhuma zinazomkabili.