Tetesi: Msanii wa Bongo Movie, Batuli lamkuta jambo, augua ghafla na kukimbizwa hospitalini

Tetesi: Msanii wa Bongo Movie, Batuli lamkuta jambo, augua ghafla na kukimbizwa hospitalini

Mkuu Masigazi, mimi mwalimu wake unanilaumu kwa lipi badala ya kunipongeza?!, yaani just imagine mtu unafundisha kitu kama hiki
View attachment 1438512View attachment 1438513View attachment 1438514View attachment 1438515View attachment 1438516View attachment 1438517View attachment 1438518View attachment 1438519View attachment 1438520
Yaani wewe ni mwalimu kazi yako ni kumfundisha tuu huyu dada utangazaji, halafu na wewe pia ni binaadamu, unamfundisha tuu huku unavumilia bila hata.. !
P
Sawasawa
 
Wanazengo wanasema bibie ni mwalimu wa kuiba waume za watu , Na nasikia akimpata mume wako anamroga mpaka basi , yani bingwa wa kuiba waume za watu na ni mchawi kupitiliza.

Umbea unaozagaa kwa sasa, Kuwa Msanii huyo aliingia kwenye himaya ya watu , na mke wa mwanaume aliyemuiba hakukubali na kuakikisha anampiga zongo la maana.

Nasikia hali ya Batuli hivi sasa sio nzuri, anashinda hospital toka juzi , huku ndugu zake wakihangaika ni kitu gani kinamsumbua, wanazengo wanasema karogwa vibaya na hali yake sio nzuri kabisa, Kwani anashinda akipiga makelele kama mamajusi wa mashariki.

Jamani isije tu ikawa Corona nyie mnasema karogwa.

Ila shoga nae alizidi kuiba waume za watu , khaa, halafu alikua anajisifu kabisa kwa wake aliowaibia waume kuwa yeye ni mtamu, kama kweli karogwa watakua wamemnyoosha kisawa Sawa.View attachment 1430162

Sent from my iPhone using JamiiForums
Rip warumi
 
Hebu tuwe wakweli kiuukweli kabisa kwa uzuri kama huu,
View attachment 1438264View attachment 1438266View attachment 1438267View attachment 1438268View attachment 1438269View attachment 1438270View attachment 1438271View attachment 1438272View attachment 1438275

Unahitaji kutumia nguvu zozote za giza kumfanya apende, au ni hao waume za watu ndio wanajichanganya wenyewe kwa kumtamani, maana hata mimi...
Sasa mtu atamani mwenyewe, amtokee, amikubaliwa na anamkuta binti hata kule kwenye ile idara, yuko gado, mtu anachanganyikiwa na kuamua kutelekeza familia!, kosa ni la nani?.
P

Dah mkuu inaonekanwa Hii Pisi imekuvuraga sana, Ila Hulaumiki mimi mwenye hivyo hivyo tunaishia kula kwa macho tu
 
Wanazengo wanasema bibie ni mwalimu wa kuiba waume za watu , Na nasikia akimpata mume wako anamroga mpaka basi , yani bingwa wa kuiba waume za watu na ni mchawi kupitiliza.

Umbea unaozagaa kwa sasa, Kuwa Msanii huyo aliingia kwenye himaya ya watu , na mke wa mwanaume aliyemuiba hakukubali na kuakikisha anampiga zongo la maana.

Nasikia hali ya Batuli hivi sasa sio nzuri, anashinda hospital toka juzi , huku ndugu zake wakihangaika ni kitu gani kinamsumbua, wanazengo wanasema karogwa vibaya na hali yake sio nzuri kabisa, Kwani anashinda akipiga makelele kama mamajusi wa mashariki.

Jamani isije tu ikawa Corona nyie mnasema karogwa.

Ila shoga nae alizidi kuiba waume za watu , khaa, halafu alikua anajisifu kabisa kwa wake aliowaibia waume kuwa yeye ni mtamu, kama kweli karogwa watakua wamemnyoosha kisawa Sawa.View attachment 1430162

Sent from my iPhone using JamiiForums
Acha wivu mama mdogo,
Acha kuchafua mtu poa,
Kama Kuna sehemu kakushinda jiulize amekushindaje sio kuleta vimaneno visivyo na maana
 
Back
Top Bottom