Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hahahahahah Basi uncle Pasco itabidi upewe tuzo ya uvumilivu .
Ila sipati picha jinsi mate yalivyokuwa Yana kutoka 🤣🤣
Batuli ni zile pisi za mjini anaepumzika hapo apewe sifa
Asap
Ila sipati picha jinsi mate yalivyokuwa Yana kutoka 🤣🤣
Batuli ni zile pisi za mjini anaepumzika hapo apewe sifa
Asap
Mkuu Masigazi, mimi mwalimu wake unanilaumu kwa lipi badala ya kunipongeza?!, yaani just imagine mtu unafundisha kitu kama hiki
View attachment 1438512View attachment 1438513View attachment 1438514View attachment 1438515View attachment 1438516View attachment 1438517View attachment 1438518View attachment 1438519View attachment 1438520
Yaani wewe ni mwalimu kazi yako ni kumfundisha tuu huyu dada utangazaji, halafu na wewe pia ni binaadamu, unamfundisha tuu huku unavumilia bila hata.. !
P