atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Yani kuna uongo mwingine unatia hasira. Huyo mwanaume wa batuli aliemuhonga BMW sio mume wa yeyote! Alioa na mkewe akafariki miaka michache iliopita. Huyo dada anaewalipa page za umbea kumchafua batuli ni baby mama tu sio mke! Kazaa na huyo bwana mapacha. Anahangaika kwann batulia anapendwa na kuhongwa gari yeye yupo yupo tu zaidi ya matunzo ya watoto hakuna kingine anachopata. Anaeroga haendi kujitangaza social media. Yani umroge mtu ukaseme si ukichaa huo. Bwana hakutaki take Your L lea watoto acha kuchafua watu. Unajichoresha tu.
Sent From Galaxy S9
Mwanzo si alitangaza batuli ni mchawi kamroga huyo bwana leo imegeuka tena yeye ndo mchawi? Mfa maji haishi kutapatapa.
Sent From Galaxy S9
Amekutuma uje kumtetea humu au ww ni dada yake batuli?warumi Sawa. Mwambie huyo aliekulipa atupie picha ya cheti cha ndoa. Mama dangote aliweza kwanini yeye ashindwe? Aweke picha ya cheti tujue ni mke halali otherwise aendelee kulea watoto wake. Batuli is there to stay. Kodi analipiwa gari kapewa. Baby mama na yeye ni side ostrich vile vile alijua kuzaa ndo kuolewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent From Galaxy S9
Sent using Jamii Forums mobile app