Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuweza kumaliza form 4 kutokana na matatizo ya kifamilia, ana elim ya College & amelelewa na mama yake tu
Huyu demu kazaa na tapeli mmoja pale kinondoni anaita Bill Ndilla.tulimshauri sana arudi shule na atulize bichwa lakini hasikii haelewi na janaume lenyewe malayaaa linaiba namba za simu za marafiki wa demu wake na kutoka nao na huyu boya Wellu anajua ila ndo anajifanya love is blindusafiri wake ndio mashallah tuu.
historia hajaolewa kweli huyu na jamaa wale ambao ukila vyao tuu hachelewi kutoka na mguu wa kuku.
Wapenzi wa bongo movie
mnasemaje kuhusu huyu WELLU SENGO
kuna watu wanaweza kutupa full historia yake?
nifah, warumi, Dinazarde hii sasa ndo tunasema historia sio kudakia dakia tu kwa habari za vilabuni.Shigongo ndio alimtoa huyu kupitia mashindano yake ya kunengua. Yalikuwa ni mashindano ya kucheza kama Rihanna.
Wenyewe waliita kumsaka Rihanna wa Bongo, inasemekana alizawadiwa ushindi baada ya Shigongo kula mzigo kwa sana.
Baada ya mashindano kwisha akawa mchepuko wake kwa muda then akampiga chini, so kwa kuwa alipata jina akaenda kwenye movie.
Ndipo akakutana na rafiki yangu anaitwa Mtitu Game ambaye ndiye aliyemnyanyua marehemu Kanumba kisanii.
Mtitu Game ndiye aliyemtoa katika maisha yake ya uigizaji kwa kumpa nafasi katika filamu yake ambayo jina lake siijui au silikumbuki.
Haya yote hayajatokea miaka mingi, ila nadhani uwezo wake umemfanya kupata jina kwa haraka. Hivi ndivyo ninavyomjua.
Ova
Huyu demu kazaa na tapeli mmoja pale kinondoni anaita Bill Ndilla.tulimshauri sana arudi shule na atulize bichwa lakini hasikii haelewi na janaume lenyewe malayaaa linaiba namba za simu za marafiki wa demu wake na kutoka nao na huyu boya Wellu anajua ila ndo anajifanya love is blind
Mmmmh segito wa kalenga nawe mpana! Wanawake sijui tupoje jamani jitu unajua kabisa ni malaya lakini bado unaling'ang'ania tu.
Hahahaaa ongea na warumi utazipata tu.Mbona alishasema kuhusu hilo? Ukitaka namba ya star yeyote yule mtafute ila uwe na pesa hatoi bure.
Hahahaaa,acha kabisa huyu mtu ana ubuyu wa hatari basi tu yuko busy.
Ila Mdakuzi wangu hapo kwenye movie ya kwanza au iliyomtoa Wellu Sengo ni Matilda na hata mimi nilianza kumfuatilia kuanzia hapo ingawaje lile shindano la vaa, imba, cheza kama Rihanna nilikua nalifuatilia ila nilikua simkumbuki mshindi ni nani leo ndio nimejua kama ni Wellu.