Msanii wa Bongo Movie Wellu Sengo...

Msanii wa Bongo Movie Wellu Sengo...

TAtizo akishajijua star,atajichubua na historia yake ndo itaishia hapo...
 
huyu sio wellu.anaitwa Laicky Abraham.ndio mshindi wa mil.10@za vaacheza imba kama Rihanna
2.jpg
 
usafiri wake ndio mashallah tuu.
historia hajaolewa kweli huyu na jamaa wale ambao ukila vyao tuu hachelewi kutoka na mguu wa kuku.
Huyu demu kazaa na tapeli mmoja pale kinondoni anaita Bill Ndilla.tulimshauri sana arudi shule na atulize bichwa lakini hasikii haelewi na janaume lenyewe malayaaa linaiba namba za simu za marafiki wa demu wake na kutoka nao na huyu boya Wellu anajua ila ndo anajifanya love is blind
 
Wapenzi wa bongo movie
mnasemaje kuhusu huyu WELLU SENGO
kuna watu wanaweza kutupa full historia yake?

Shigongo ndio alimtoa huyu kupitia mashindano yake ya kunengua. Yalikuwa ni mashindano ya kucheza kama Rihanna.
Wenyewe waliita kumsaka Rihanna wa Bongo, inasemekana alizawadiwa ushindi baada ya Shigongo kula mzigo kwa sana.
Baada ya mashindano kwisha akawa mchepuko wake kwa muda then akampiga chini, so kwa kuwa alipata jina akaenda kwenye movie.
Ndipo akakutana na rafiki yangu anaitwa Mtitu Game ambaye ndiye aliyemnyanyua marehemu Kanumba kisanii.
Mtitu Game ndiye aliyemtoa katika maisha yake ya uigizaji kwa kumpa nafasi katika filamu yake ambayo jina lake siijui au silikumbuki.
Haya yote hayajatokea miaka mingi, ila nadhani uwezo wake umemfanya kupata jina kwa haraka. Hivi ndivyo ninavyomjua.
Ova
 
nifah, warumi, Dinazarde hii sasa ndo tunasema historia sio kudakia dakia tu kwa habari za vilabuni.
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaa,acha kabisa huyu mtu ana ubuyu wa hatari basi tu yuko busy.
Ila Mdakuzi wangu hapo kwenye movie ya kwanza au iliyomtoa Wellu Sengo ni Matilda na hata mimi nilianza kumfuatilia kuanzia hapo ingawaje lile shindano la vaa, imba, cheza kama Rihanna nilikua nalifuatilia ila nilikua simkumbuki mshindi ni nani leo ndio nimejua kama ni Wellu.
 
Last edited by a moderator:
Huyu demu kazaa na tapeli mmoja pale kinondoni anaita Bill Ndilla.tulimshauri sana arudi shule na atulize bichwa lakini hasikii haelewi na janaume lenyewe malayaaa linaiba namba za simu za marafiki wa demu wake na kutoka nao na huyu boya Wellu anajua ila ndo anajifanya love is blind

Mmmmh segito wa kalenga nawe mpana! Wanawake sijui tupoje jamani jitu unajua kabisa ni malaya lakini bado unaling'ang'ania tu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa ongea na warumi utazipata tu.Mbona alishasema kuhusu hilo? Ukitaka namba ya star yeyote yule mtafute ila uwe na pesa hatoi bure.

Hilo asiwe n shaka mkoba wa hela atabeba binamu n kulipa bills
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa,acha kabisa huyu mtu ana ubuyu wa hatari basi tu yuko busy.
Ila Mdakuzi wangu hapo kwenye movie ya kwanza au iliyomtoa Wellu Sengo ni Matilda na hata mimi nilianza kumfuatilia kuanzia hapo ingawaje lile shindano la vaa, imba, cheza kama Rihanna nilikua nalifuatilia ila nilikua simkumbuki mshindi ni nani leo ndio nimejua kama ni Wellu.

Aiseeh! Nimecheka sana nifah wangu, asante sana. Yeye alikuwa wa pili kama sikosei, lakini hakuwa na kipaji sana cha kuimba na kucheza ila 'aliutumia vema uzuri wake' kwa mmiliki wa mashindano. Kuna mshikaji wangu alikuwa mmoja wa majaji, naomba nisimtaje jina kwa sababu majaji walikuwa watatu tu akiwemo Shigongo.
Alisema ni wazi Wellu aliandaliwa na mmiliki wa shindano kuwa mshindi wa kwanza lakini raia siku ya fainali walikuwa wakipiga 'buu' sana kwa Wellu, alikuwa mzito na hakuwa na sauti ya kuimba. Na hata alipotajwa kuwa mshindi wa pili walilalamika. Lakini Mungu si Athuman raia wamemkubali kwenye movie, anakimbiza sasa.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom