Wabongo tupunguze wivu wa kike sie ni ma-great thinkers,wakati nasoma nlijufunza maana ya neno maendeleo(mafanikio) mwalimu alisema ni kutoka hatua moja hadi nyingine na hyo hatua nyingine inakuwa better kuliko ya nyuma,tukimuangalia barnaba alivyoanza THT na mpaka sasa hatua aliyofikia tunaweza sema kwamba amefanikiwa,tukipima umri wake na watu walio kitaa wenye umri huo ni wazi amewaacha mbali,na hata ukilinganisha na watu wenye degree zao na wanafanyakazi 85% amewapiga bao,to own a Mark X is not a joke range yake ni 20-30m,Kuhusu nyumba kashamilza anappiga fence tu kwa sasa,siku hizi gari sio anasa ni moja ya vitu unatakiwa kuwa navyo,msanii anatakiwa awe na gari yenye status ili kuwa-encourage wengine haiwezekani msanii jina kubwa utembelee vitz/duet/fun cargo/Allex(samahani lakin mnaomiliki no diss intended for educational purposes only),ndio maana tumemshauri kwa status ya Diamond kwa sasa inabidi aachane na Toyota kama ana uwezo wa kununua gari zaidi ya mil100 why asiende kwa Range Rover Sports/Vogue? Yeye anabakia kununua V8 magari ya wazee? Mie simfagilii sana barnaba lakini kama amefanya vitu hvyo vyote anastahili pongezi sana,wana JF wengi wanaponda humu wakati wao wanalala sebuleni wengine msingi shikamoo!!!