msanii wa bongofleva Barnaba Aonyesha Mkoko wake mpya..!!

msanii wa bongofleva Barnaba Aonyesha Mkoko wake mpya..!!

Alikuwa na Toyota OPa kama alivyoanza Diamond na Dully Sykes..sasa naona ameamu kujiongezea gharama za mafuta,plus road licence na insurance juu!!!kwa Opa na Mark X mmh haya mwee,basi sawaaaa,utuonyeshe na Kiwanja hata Kitunda,sio mnanauna magar huku mmepanga Mburahati!!

ohooo basi sawaaaaa:ranger:
 
mbona zina price range sawa tu[nimelinganisha armada ya 2014 na mark x ya 2014].....if u put into consideration hio armada ni huge suv na mark x ni small saloon inaonyesha wazi mark x ina quality kuliko hio suv.....

2014 Nissan Armada Reviews, Pictures and Prices | U.S. News Best Cars

Toyota Mark X New 2014 Model in Japan, Import Japanese new car, Toyota Land Cruiser Exporter

Nishazoea gari za juu ni nzuri kuliko za chini hshahahaha lakin nissan ya Usa nadhani sio kama toyota
 
Nishazoea gari za juu ni nzuri kuliko za chini hshahahaha lakin nissan ya Usa nadhani sio kama toyota

kwahio ni chaguo tu coz kwa bei inaonyesha mtu anaenunua mark x mpya ni sawa na anaenunua nissan armada mpya so technically ur in the same class,sio kila gari ya juu ni expensive na/au nzuri kuliko gari ya chini labda kama unakaa porini.....wewe na huyo msanii LOL..........
 
jana ilinipita sehemu iyo Armada duuuu bonge la gari aiseee
 
hizo ni fikra ndogo mkinunua na chupi muwe mnaleta thread hapa tunachangia pia
 
Excel twende kule tukaratuke siee

naja madam, aiseeee nimekumisssss mpaka najihisi naniii aiseeee!!!!

missing-you-300x215.jpg
 
Town sasa hivi gari si anasa tena.hata kama umepanga chumba kimoja mburahati.
 
Acheni wivu kijana anajituma, hata hivyo gari hizi zimeshuka sana ni dola usd 5000
 
Wabongo tupunguze wivu wa kike sie ni ma-great thinkers,wakati nasoma nlijufunza maana ya neno maendeleo(mafanikio) mwalimu alisema ni kutoka hatua moja hadi nyingine na hyo hatua nyingine inakuwa better kuliko ya nyuma,tukimuangalia barnaba alivyoanza THT na mpaka sasa hatua aliyofikia tunaweza sema kwamba amefanikiwa,tukipima umri wake na watu walio kitaa wenye umri huo ni wazi amewaacha mbali,na hata ukilinganisha na watu wenye degree zao na wanafanyakazi 85% amewapiga bao,to own a Mark X is not a joke range yake ni 20-30m,Kuhusu nyumba kashamilza anappiga fence tu kwa sasa,siku hizi gari sio anasa ni moja ya vitu unatakiwa kuwa navyo,msanii anatakiwa awe na gari yenye status ili kuwa-encourage wengine haiwezekani msanii jina kubwa utembelee vitz/duet/fun cargo/Allex(samahani lakin mnaomiliki no diss intended for educational purposes only),ndio maana tumemshauri kwa status ya Diamond kwa sasa inabidi aachane na Toyota kama ana uwezo wa kununua gari zaidi ya mil100 why asiende kwa Range Rover Sports/Vogue? Yeye anabakia kununua V8 magari ya wazee? Mie simfagilii sana barnaba lakini kama amefanya vitu hvyo vyote anastahili pongezi sana,wana JF wengi wanaponda humu wakati wao wanalala sebuleni wengine msingi shikamoo!!!
 
Back
Top Bottom