anatafuta kiki kwa piki pikiAmevaa. Kinguo, ila kinguo chenyewe. Kinaonyesha kila kitu. Anatafuta kiki tu
are you?Wanawake kwa wivu, weka zako zilizolainishwa kwa mimate ya mibabu tuzione.
are you?
m kidume dogo
Kwa maadili ya kitaanzani, ni kosa kupiga picha inayoonyesha sehemu au viungo vyako vya siri. Mambo kama haya yamezoeleka kufanyika katika nchi za magharibi na nchi nyingine zilizoendelea.
Hii inasababisha tukio kama hilo linapotokea kuwashangaza watu wengi kwani ni kitu ambacho hakijazoeleka miongoni mwao.
Itakumbukwa siku za hizi karibuni mashabiki wa muziki na watu wengine walimshambulia mwanamuziki Ben Pol baada ya kuweka picha Instagram inayoonyesha sehemu kubwa ya mwili wake.
Kama hiyo haitoshi, mwanamuziki Malaika anayetamba na wimbo wa Rarua jana aliweka picha kwenye ukurasa wake wa Instagram inayoonyesha sehemu ya maziwa yake kitu kilichopelekea watu wengi kuweka maoni yaliyoonyesha kuchukizwa.
Baada ya mashabiki zake na watumiaji wengine wa Instagram kumsema sana, msanii huyo aliitoa picha hiyo na kuweka nyingine ambayo aliandika Your support is really appreciated. I posted a picture that I thought was edited earlier I apologise if it offended anyone . Weekend is here so relax

Naomba nitumie picha zako za utupu my dear![emoji53][emoji53][emoji53]Mziki ushakua mgumu, hakuna kubahatisha.
kiki zitawafanya muanike vinyeo wazi
Angalia vizuriMh! Mbona mi sijaona kitu
Huyu dada nampenda sana!!