Msanii wa Bongofleva Malaika, apiga picha za utupu

Wabongo bana...
Sasa kuna shida gani kwenye hizo pics
 
Mtoa mada acha kuzingua embu tuwekee hapa tuzionie halafu mbona nipples zimezibwa acha ujinga bila picha habari yako ni ya uongo na ya kinafki na uongo ni dhambi ?
 
xMalaika-Exavery-750x375.jpg.pagespeed.ic.Wlu3T8JYOH.jpg

Kwa maadili ya kitaanzani, ni kosa kupiga picha inayoonyesha sehemu au viungo vyako vya siri. Mambo kama haya yamezoeleka kufanyika katika nchi za magharibi na nchi nyingine zilizoendelea.

Hii inasababisha tukio kama hilo linapotokea kuwashangaza watu wengi kwani ni kitu ambacho hakijazoeleka miongoni mwao.

Itakumbukwa siku za hizi karibuni mashabiki wa muziki na watu wengine walimshambulia mwanamuziki Ben Pol baada ya kuweka picha Instagram inayoonyesha sehemu kubwa ya mwili wake.

xunnamed-file.jpg.pagespeed.ic.5dz9qYzdwh.jpg

Kama hiyo haitoshi, mwanamuziki Malaika anayetamba na wimbo wa Rarua jana aliweka picha kwenye ukurasa wake wa Instagram inayoonyesha sehemu ya maziwa yake kitu kilichopelekea watu wengi kuweka maoni yaliyoonyesha kuchukizwa.

Baada ya mashabiki zake na watumiaji wengine wa Instagram kumsema sana, msanii huyo aliitoa picha hiyo na kuweka nyingine ambayo aliandika Your support is really appreciated. I posted a picture that I thought was edited earlier I apologise if it offended anyone . Weekend is here so relax

xunnamed-file-1.jpg.pagespeed.ic.Mx9PfMDcHf.jpg

Mwaka huu tutaona nyuchi nyingi
 
Kweli nimeamini wabongo mmejaliwa ubunifu. Ati malaika aweka picha zake za utupu mitandaoni. Ziko wapi?? Kwani hiyo picha ya kuonesha hayo matiti malapa ndo ya utupu?? Je angeweka ya akiwa anaoga si mngemuwehusha?? Waacheni watu jamani wajipungie kahewa, Akianika mahindi yake nje kelele, hamjui kuna baridi na mahindi yanaleta ukungu??
 
Mziki ushakua mgumu, hakuna kubahatisha.
kiki zitawafanya muanike vinyeo wazi
 
Umesema amepiga picha za utupu lakini hapa umetuonyesha picha moja tu nyingine ziko wapi ama hili neno "za" umelitumia kimakosa mkuu.
 
Uumbaji wa Allah
Tangu ahamie kwa Trump amezidi kuwakaaaa, tuwekeeni basi hizo picha wanachama wa CHAPUTA tufanye yetu
 
Mama yake ana shida sana
Angejua haya yangetokea angemtoa mapema sana
 
xMalaika-Exavery-750x375.jpg.pagespeed.ic.Wlu3T8JYOH.jpg

Kwa maadili ya kitaanzani, ni kosa kupiga picha inayoonyesha sehemu au viungo vyako vya siri. Mambo kama haya yamezoeleka kufanyika katika nchi za magharibi na nchi nyingine zilizoendelea.

Hii inasababisha tukio kama hilo linapotokea kuwashangaza watu wengi kwani ni kitu ambacho hakijazoeleka miongoni mwao.

Itakumbukwa siku za hizi karibuni mashabiki wa muziki na watu wengine walimshambulia mwanamuziki Ben Pol baada ya kuweka picha Instagram inayoonyesha sehemu kubwa ya mwili wake.

xunnamed-file.jpg.pagespeed.ic.5dz9qYzdwh.jpg

Kama hiyo haitoshi, mwanamuziki Malaika anayetamba na wimbo wa Rarua jana aliweka picha kwenye ukurasa wake wa Instagram inayoonyesha sehemu ya maziwa yake kitu kilichopelekea watu wengi kuweka maoni yaliyoonyesha kuchukizwa.

Baada ya mashabiki zake na watumiaji wengine wa Instagram kumsema sana, msanii huyo aliitoa picha hiyo na kuweka nyingine ambayo aliandika Your support is really appreciated. I posted a picture that I thought was edited earlier I apologise if it offended anyone . Weekend is here so relax

xunnamed-file-1.jpg.pagespeed.ic.Mx9PfMDcHf.jpg
Huyu dada nampenda sana!!
 
Back
Top Bottom