Msanii wa Bongofleva Malaika, apiga picha za utupu

Msanii wa Bongofleva Malaika, apiga picha za utupu

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
xMalaika-Exavery-750x375.jpg.pagespeed.ic.Wlu3T8JYOH.jpg

Kwa maadili ya kitaanzani, ni kosa kupiga picha inayoonyesha sehemu au viungo vyako vya siri. Mambo kama haya yamezoeleka kufanyika katika nchi za magharibi na nchi nyingine zilizoendelea.

Hii inasababisha tukio kama hilo linapotokea kuwashangaza watu wengi kwani ni kitu ambacho hakijazoeleka miongoni mwao.

Itakumbukwa siku za hizi karibuni mashabiki wa muziki na watu wengine walimshambulia mwanamuziki Ben Pol baada ya kuweka picha Instagram inayoonyesha sehemu kubwa ya mwili wake.

xunnamed-file.jpg.pagespeed.ic.5dz9qYzdwh.jpg

Kama hiyo haitoshi, mwanamuziki Malaika anayetamba na wimbo wa Rarua jana aliweka picha kwenye ukurasa wake wa Instagram inayoonyesha sehemu ya maziwa yake kitu kilichopelekea watu wengi kuweka maoni yaliyoonyesha kuchukizwa.

Baada ya mashabiki zake na watumiaji wengine wa Instagram kumsema sana, msanii huyo aliitoa picha hiyo na kuweka nyingine ambayo aliandika Your support is really appreciated. I posted a picture that I thought was edited earlier I apologise if it offended anyone . Weekend is here so relax

xunnamed-file-1.jpg.pagespeed.ic.Mx9PfMDcHf.jpg
 
Kwa maadili ya kitaanzani, ni kosa kupiga picha inayoonyesha sehemu au viungo vyako vya siri. Mambo kama haya yamezoeleka kufanyika katika nchi za magharibi na nchi nyingine zilizoendelea.

Hii inasababisha tukio kama hilo linapotokea kuwashangaza watu wengi kwani ni kitu ambacho hakijazoeleka miongoni mwao.

Itakumbukwa siku za hizi karibuni mashabiki wa muziki na watu wengine walimshambulia mwanamuziki Ben Pol baada ya kuweka picha Instagram inayoonyesha sehemu kubwa ya mwili wake.

Kama hiyo haitoshi, mwanamuziki Malaika anayetamba na wimbo wa Rarua jana aliweka picha kwenye ukurasa wake wa Instagram inayoonyesha sehemu ya maziwa yake kitu kilichopelekea watu wengi kuweka maoni yaliyoonyesha kuchukizwa.

Baada ya mashabiki zake na watumiaji wengine wa Instagram kumsema sana, msanii huyo aliitoa picha hiyo na kuweka nyingine

Mwambieni airudishe haraka sana jiyo picha aliyoitoa kabla sijakasirika
 
Mbona picha ya kawaida tuwakuu after all yeye yupo above 18 ngoja atangaze biashara asee always biashara ni matangazo. Don't take it serious comrades.
 
Mwili ni wake, binafsi sioni sababu ya yeye kushambuliwa...!

Ningemshauri atume hiyo picha huku JF, tummwagie misifa ya haja.
 
Mimi binafsi nimeelewa aiseee hii ni akili ya hali ya juu sana kugundua alivhopost
 
Amevaa. Kinguo, ila kinguo chenyewe. Kinaonyesha kila kitu. Anatafuta kiki tu
 
Back
Top Bottom