MT255
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 3,606
- 4,914
Mwigizaji na muongozaji wa filamu hapa Tanzania ADAM PHILIP KUAMBIANA amefariki Dunia muda huu muda sio mrefu nitarudi baadae kwa Habari zaidi ....
Muigizaji maarufu wa filamu nchini ambaye pia ni director Adam Kuambiana Amefariki dunia muda mchache uliopita baada ya kuanguka ghafla akiwa location.
Star mkubwa wa filamu nchini amenitumia ujumbe uliosomeka "Msanii Adam Kuambiana amefariki dunia sasa hivi, alikuwa location kaanguka ghafla, maiti ipo hospital ya Marie Stopes, Mwenge, Dar es salaam. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Ameen."