Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

MT255

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
3,606
Reaction score
4,914
Mwigizaji na muongozaji wa filamu hapa Tanzania ADAM PHILIP KUAMBIANA amefariki Dunia muda huu muda sio mrefu nitarudi baadae kwa Habari zaidi ....

attachment.php



Muigizaji maarufu wa filamu nchini ambaye pia ni director Adam Kuambiana Amefariki dunia muda mchache uliopita baada ya kuanguka ghafla akiwa location.
Star mkubwa wa filamu nchini amenitumia ujumbe uliosomeka "Msanii Adam Kuambiana amefariki dunia sasa hivi, alikuwa location kaanguka ghafla, maiti ipo hospital ya Marie Stopes, Mwenge, Dar es salaam. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Ameen."

attachment.php
 

Attachments

  • 1400314778246.jpg
    1400314778246.jpg
    41.2 KB · Views: 21,884
Ni kweli amefariki maiti ipo hospital kwa Dr ngoma
 
R.I.P Adam,
Kwa hakika kila nafsi ita-onja mauti!
 
Ah!!
R.I.P Adam.
Kila nafsi itaonja kifo.
 
Eleza vizuri ajali ilikuwaje maana sinza? Ameangukiwa na kontena au? Kama over speeding sinza?? Au alikuwa kelolo? Rip
 
Habari ambazo hazijathibitisha zinasema kwamba, kafariki leo asubihi kwa ajali Sinza, mwili upo hospitali ya mama Ngoma mwenge.
 
Back
Top Bottom