Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

Vifo vya hotelini huwa vina mambo mengi sana!!
¤Drug overdose kujidunga coke
¤Kupiga show +viagra

Nshwahi kushuhudia mtu amevuta akiwa kwa kimada(Juu ya mashine) lakini taarifa zilivyotoka nje wakasema amedondoka wakati akitoka kazini kufunika kombe mwanaharamu apite.
 
Muigizaji maarufu wa filamu nchini ambaye pia ni director Adam Kuambiana Amefariki dunia muda mchache uliopita baada ya kuanguka ghafla akiwa location.
Star mkubwa wa filamu nchini amenitumia ujumbe uliosomeka "Msanii Adam Kuambiana amefariki dunia sasa hivi, alikuwa location kaanguka ghafla, maiti ipo hospital ya Marie Stopes, Mwenge, Dar es salaam. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Ameen."
 
Mwigizaji na muongozaji wa filamu hapa Tanzania ADAM PHILIP KUAMBIANA amefariki Dunia muda huu kwa ajali ya gali iliyotokea sinza muda sio mrefu nitarudi baadae kwa Habari zaidi ....

Taarifa zingine zinasema amefariki baada ya kudondoka chooni. Walikuwa location wana shoot!
 
Habari ambazo hazijathibitisha zinasema kwamba, kafariki leo asubihi kwa ajali Sinza, mwili upo hospitali ya mama Ngoma mwenge.
Kwanini habari kama hii unaileta bila kua na uhakika?
 
Dah! Kuambiana hakuwahi kutumia hata robo ya kipaji chake, alikua na uwezo mkubwa sana kuliko kawaida! R.i.p director!
 
Back
Top Bottom