Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

Nimemsikia Steve Nyerere kupitia Clouds Fm akithibitisha kifo cha Adam Kuambiana.

Na amesema alijisikia tumbo lina muuma akiwa location na akawambia wampeleke hospital lakini alifia njiani.
 
Mungu amlaze anapo stahili.
Ni mmoja wa Director walio kuwa serious sana kwenye kazi.
 
Mwigizaji na muongozaji wa filamu hapa Tanzania ADAM PHILIP KUAMBIANA amefariki Dunia muda huu kwa ajali ya gali iliyotokea sinza muda sio mrefu nitarudi baadae kwa Habari zaidi ....

attachment.php

Miongoni mwa filamu Za mwisho Za marehemu Adam Philip kuambiana ukiachilia mbali hiyo aliokuwa anajiandaa location kabla ya kudondoka ghafla ni pamoja na MR KADAMANJA, WHO IS MY CHILD, STUPID FATHER ambazo alifanya na Kampuni ya 5effects movies
 
Attachments

  • 1400327511872.jpg
    1400327511872.jpg
    98.4 KB · Views: 778
  • 1400327539397.jpg
    1400327539397.jpg
    72.6 KB · Views: 766
Ni kweli amefariki dunia muda mchache uliopita baada kuanguka akiwa location. nimepewa taarifa na wake wa karibu sana.
 
Pichani mwili wa marehemu ADAM PHILIP KUAMBIANA ukiwa ndani ya gali la kampuni ya 5effects movies ukiwasili monchwari muhimbili baada ya kutolewa pale alikofia kwa Dr ngoma

Hapa mwili wa marehemu ADAM PHILIP KUAMBIANA ukiingizwa monchwari ukiwa umebebwa na baadhi ya wasanii
 
Attachments

  • 1400328345288.jpg
    1400328345288.jpg
    35.5 KB · Views: 16,244

Hapana Jamani Hebu tuondoe maskhara marehemu ADAM PHILIP KUAMBIANA amekufa kwa ugonjwa wa Tumbo ambalo lilikuwa linamsumbua kwa muda mrefu.... Nakumbuka muda kama mwezi mmoja Hivi nyuma alikuja ofisini na akatueleza amegundulika Ana matatizo tumboni hivyo anaitajika afanyiwe upasuaji... Aliondoka kwa miadi angenitafuta Kwenye simu hatukuonana Tena Mpaka mauti yanamfika.
 
Last edited by a moderator:
Mtoa taharifa mbona mimi nimesikia nikifo cha gafla kutoka vyanzo vinavyo aminika?
 
Mtoa taharifa mbona mimi nimesikia nikifo cha gafla kutoka vyanzo vinavyo aminika?

Mkuu marehemu ADAM PHILIP KUAMBIANA ni mmoja wa watu wangu wa Karibu Sana...nimefanya kazi na marehemu zaidi ya miaka 7 na Kabla hajapata matatizo nimefanya nae movies 4 mfululizo zingine akicheza na zingine akiziongoza 1.mr Kadamanja 2.stupid father 3.who Si my child 4.kitoga.... muda wote mkiwa location Tumbo ndilo tatizo kubwa ambalo lilikuwa linamsumbua marehemu muda Sana na kabla hajakutwa na mauti alishawahi kuja ofisini kusema now ameshagundua tatizo linamsumbua ndani ya Tumbo lake Sasa anaitajika kufanyiwa upasuaji... Na kabla hajakutwa na mauti alilalamika tumbo kabla ya kuanguka ghafla na kukimbizwa hospital ndipo umauti ulipomkuta
 
ulazwe unapostahili kamanda wa bongo Muvi....
 
Tunashukuru kwa taarifa poleni sana. R.I.P jembe
 
Back
Top Bottom