Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

Eleza vizuri ajali ilikuwaje maana sinza? Ameangukiwa na kontena au? Kama over speeding sinza?? Au alikuwa kelolo? Rip

Kaanguka choon na kufark dunia, hyo ajali cjui wameitoa wap


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Dah! Kuambiana hakuwahi kutumia hata robo ya kipaji chake, alikua na uwezo mkubwa sana kuliko kawaida! R.i.p director!

Wabongo mshaanza sasa sifa zenu


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
kuna taarifa kuwa muigizaji wa bongo muvie na pia ni director ADAM KUMBIANA ameariki leo. mwenye habari zaid jamani atujuze.SERIOUSLY!!!!!.:crying::crying::crying:
 
Mmmhhhhh makubwaa tupen taarifaa kamili wajamenii
 
Taarifa za Kifo za Tetesi? simfahamu mtu huyu.... pole zake....natanguliza
 
Nilikua napenda sauti yake RIP Adam jaman kina Wema watazabwa makofi na nani sasa
Mi ntahesabu watakaozimia msibaniiwq
 
Mkuu marehemu ADAM PHILIP KUAMBIANA ni mmoja wa watu wangu wa Karibu Sana...nimefanya kazi na marehemu zaidi ya miaka 7 na Kabla hajapata matatizo nimefanya nae movies 4 mfululizo zingine akicheza na zingine akiziongoza 1.mr Kadamanja 2.stupid father 3.who Si my child 4.kitoga.... muda wote mkiwa location Tumbo ndilo tatizo kubwa ambalo lilikuwa linamsumbua marehemu muda Sana na kabla hajakutwa na mauti alishawahi kuja ofisini kusema now ameshagundua tatizo linamsumbua ndani ya Tumbo lake Sasa anaitajika kufanyiwa upasuaji... Na kabla hajakutwa na mauti alilalamika tumbo kabla ya kuanguka ghafla na kukimbizwa hospital ndipo umauti ulipomkuta
Mkuu MTOTO WA KUKU Asante kwa taarifa.
Unaoneka ni msanii tena msanii mkubwa,hupo leaders mlipo panga kukutana?
Mkuu kwanini umejificha nyuma ya Id ya mtoto wa kuku?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MTOTO WA KUKU Asante kwa taarifa.
Unaoneka ni msanii tena msanii mkubwa,hupo leaders mlipo panga kukutana?
Mkuu kwanini umejificha nyuma ya Id ya mtoto wa kuku?

Tupo riders soon tutawajuza kinachoendelea
 

Attachments

  • 1400340394571.jpg
    1400340394571.jpg
    78.9 KB · Views: 598
  • 1400340457495.jpg
    1400340457495.jpg
    104.4 KB · Views: 576
  • 1400340478347.jpg
    1400340478347.jpg
    75.7 KB · Views: 573
Last edited by a moderator:
Kipaji kimepotea, RIP bro 'Petro' km ulivoitwa ktk Fake pastor
 
MTOTO WA KUKU amewahi kujitambulisha humu kwenye mjadala flani na ni muigizaji na director Nguli aliyesimamia mapinduzi ya filamu Bongo na amewatoa wasanii wengi akiwemo marehemu Kanumba.......

Ruttashobolwa kutumia ID feki ni kukupa uhuru kutoa mawazo yako ndio maana hata mawaziri humu wanatumia ID feki ukitoa Mama Tibaijuka anayetumia jina lake halisi.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom