Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

kumbe anayo?
Mwenzangu acha tu tutakwisha,mchepuko wake ulishatangulia mbele ya haki RIP Diana Aston Villa.Na huyu steve alipatwa na majipu acha kabisa,mkewe alijifungua mtoto baadae mtoto alifariki,SUB SAHARAN tutakwisha!Mungu atusaidie tuache kuchepuka
 
Nilikua napenda sauti yake RIP Adam jaman kina Wema watazabwa makofi na nani sasa
Mi ntahesabu watakaozimia msibaniiwq

Uliwahi kumsakama jamaa anaiba vijiko, sabuni hadi vikombe!..hiyo sauti yake nzuri naona inatajwa akiwa amekufa
 
Jaman sio vizur, mimi mwenyew ndiye niliyeanisha ule uzi binafsi najisikia vibaya kwan jamaa hayupo tena duniani, na ni vizur tukikumbuka yale aliyoyafanya kipindi cha uhai wake , hayo mengine yalishapita , sasa ivi sio mwenzetu tena
 
kuna thread mmemsema sana mara mwizi,sasa imekuwa ulikuwa unapenda sauti yake!

Kuna kitu wanatakiwa wajifunze hawa watu na kuna dada alisema anataka kujiua wakamletea mizaha kuna mtu alianzisha thread kwamba yule dada amejiua wakaanza kujing'ata
 
Mwenzangu acha tu tutakwisha,mchepuko wake ulishatangulia mbele ya haki RIP Diana Aston Villa.Na huyu steve alipatwa na majipu acha kabisa,mkewe alijifungua mtoto baadae mtoto alifariki,SUB SAHARAN tutakwisha!Mungu atusaidie tuache kuchepuka

Duh diana atafuatwa na wengi maana Mr.Nice mzazi mwenzie nae anabanjuka na kina kabula
 
Huyu ni yule alicheza kwenye Foolish Age? RIP Adam
 
Duh! RIP Adam, Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
 
Mwenzangu acha tu tutakwisha,mchepuko wake ulishatangulia mbele ya haki RIP Diana Aston Villa.Na huyu steve alipatwa na majipu acha kabisa,mkewe alijifungua mtoto baadae mtoto alifariki,SUB SAHARAN tutakwisha!Mungu atusaidie tuache kuchepuka

Jamani!!
 
habari za uhakika ni kwamba alikua analalamika tumbo akiwa location, ripz!
 
Back
Top Bottom