Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

Ulivyotaja Jini Kabula tu akaja Mr.Chuz(Tuesday Kiangala) na Ruta Bushoke kwenye akili yangu na ukimtaja Chuz tu Jack Pentezel huyu hapa Daaaaaa Hii kitu hii kitu hiiiii.

Ebana eee imekaa pabaya sana hii kitu!
 
kuna thread mmemsema sana mara mwizi,sasa imekuwa ulikuwa unapenda sauti yake!

Ni sawa..na hilo bado halitobadilisha ukweli, ila kwa wakati huu sasa haisaidii tena kuyataja hayo madhaifu yake coz tunaamini tayari amemaliza safari yake ya duniani na sasa yupo kwenye mamlaka nyingine....

Na hata wengine vitabu vyetu vya imani vinatuonya kuwa tusiwataje kwa mabaya waliotangulia mbele ya haki....

Tuliobaki tuenzi mema yake coz hata wewe ungependa iwe hivyo siku utakapotangulia..

So kama bado upo hai utahukumiwa, utahojiwa na utaonywa kwa mapungufu yako mpaka hapo nawe utakapotangulia mbele ya haki ndipo wataachiwa mamlaka nyingine.

...............RIP ADAM....
 
Taarifa zinasema kuwa msiba wa marehem Adam Phillips Kuambiana upo kwake maeneneo ya Bunju B na mazishi yatafanyika siku ya jumanne kwenye makaburi ya kinondoni, mwili wa marehemu utaagwa kwenye viwanja vya leaders club siku hiyo ya jumanne.

Jioni nitakuwa maeneo ya tukio kupata updates mbali mbali na matukio yote yatakayojiri uko.
 
Huyu bwana si ndie alicheza picha na Ray inaitwa fake pastors? Au naona kwa makengeza? Kama ndie alikuwa muigizaji mzuri tena sana. Tasnia ya filamu imepoteza mtu makini na muhimu.
 
Mwenyekiti wa kamati ya Mazishi ni nani?

Ndo nataka baadae niende nikajue kila kitu uko , maana nasikia na hiyo nyumba ya bunju wanayodai ni ya marehemu siyo yake , maana marehemu inasemekana hana nyumba, so nataka nikapate ma news yote uko , si unajua tena mambo ya msibani hapakosi mawil matatu?
 
Mi naomba kujua km kuna chanel yoyote inayoonyesha hbr kuhusu msiba huu.ahsanteni
 
Back
Top Bottom