Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP Adam Kuambiana. ame act sinema gani?
Jamani nimeona kwenye instagram ya irene uwoya kaweka picha yake na ya adam kuambiana na kichwa cha habari R.I.P my daddy ni kweli huyu jamaa amekufa au fununu tu? Mwenye Taarifa Zaidi atujuze .....
Ni kweli amefariki maiti ipo hospital kwa Dr ngoma
RIP Adam Kuambiana. ame act sinema gani?
kila mtu ana lake siwaelewi mimi
kuwa mpole masai kadri muda unavyoenda utajua tu utangalia wengi wamesemaje na wewe humo humo
Mwigizaji na muongozaji wa filamu hapa Tanzania ADAM PHILIP KUAMBIANA amefariki Dunia muda huu kwa ajali ya gali iliyotokea sinza muda sio mrefu nitarudi baadae kwa Habari zaidi ....
![]()
wanasema amekufa akiwa location sijajua kama ni ukweli au vp