Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

Daaah!! Inasikitisha sana mkuu ila kuna kaniambia amedondoka chooni,sasa cjui taarifa sahihi ni ipi???? Mwenye taarifa kamili atupe ukweli wadau,,,!!!
R.I.P Adam.
 
wanasema amekufa akiwa location sijajua kama ni ukweli au vp
 
Adam ni nani,hebu tujuzane mie mwenzenu simjui
 
Jamani nimeona kwenye instagram ya irene uwoya kaweka picha yake na ya adam kuambiana na kichwa cha habari R.I.P my daddy ni kweli huyu jamaa amekufa au fununu tu? Mwenye Taarifa Zaidi atujuze .....

Eeh binamu hatunaye tena
 
Jamani wacheni uzushi nifilamu mpya itakayo toka mwezi huuu mwishoni ataigiza kafa baada ya kuanguka location
 
Pole familia, wasanii na watanzania wote. Alikuwa jembe.
 
Pole kwa wafiwa

Hatujui saa, muda, tarehe, siku jamani Mungu yupo tusichukulie poa
 
Mwigizaji na muongozaji wa filamu hapa Tanzania ADAM PHILIP KUAMBIANA amefariki Dunia muda huu kwa ajali ya gali iliyotokea sinza muda sio mrefu nitarudi baadae kwa Habari zaidi ....

attachment.php

Pichani mwili wa marehemu ADAM PHILIP KUAMBIANA ukiwa ndani ya gali la kampuni ya 5effects movies ukiwasili monchwari muhimbili baada ya kutolewa pale alikofia kwa Dr ngoma
 

Attachments

  • 1400326078279.jpg
    1400326078279.jpg
    67.6 KB · Views: 768
  • 1400326102666.jpg
    1400326102666.jpg
    63.5 KB · Views: 755
  • 1400326152500.jpg
    1400326152500.jpg
    57.7 KB · Views: 758
Inna lillahi wainna ilayhi rajiuun,hakika marejeo yetu yoote ni kwake muumba wa mbingu na ardhi.
 
Back
Top Bottom