Mkuu marehemu ADAM PHILIP KUAMBIANA ni mmoja wa watu wangu wa Karibu Sana...nimefanya kazi na marehemu zaidi ya miaka 7 na Kabla hajapata matatizo nimefanya nae movies 4 mfululizo zingine akicheza na zingine akiziongoza 1.mr Kadamanja 2.stupid father 3.who Si my child 4.kitoga.... muda wote mkiwa location Tumbo ndilo tatizo kubwa ambalo lilikuwa linamsumbua marehemu muda Sana na kabla hajakutwa na mauti alishawahi kuja ofisini kusema now ameshagundua tatizo linamsumbua ndani ya Tumbo lake Sasa anaitajika kufanyiwa upasuaji... Na kabla hajakutwa na mauti alilalamika tumbo kabla ya kuanguka ghafla na kukimbizwa hospital ndipo umauti ulipomkuta