Tyga Twist
Member
- Jan 18, 2013
- 7
- 2
Not EveryOne Live Bt EveryOne Die... Rest Where U Deserve
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP Adam Kuambiana. ame act sinema gani?
RIP Adam Kuambiana. ame act sinema gani?
Mwigizaji na muongozaji wa filamu hapa Tanzania ADAM PHILIP KUAMBIANA amefariki Dunia muda huu kwa ajali ya gali iliyotokea sinza muda sio mrefu nitarudi baadae kwa Habari zaidi ....
Kwanini habari kama hii unaileta bila kua na uhakika?Habari ambazo hazijathibitisha zinasema kwamba, kafariki leo asubihi kwa ajali Sinza, mwili upo hospitali ya mama Ngoma mwenge.
Kwanini habari kama hii unaileta bila kua na uhakika?