Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

Mi naomba kujua km kuna chanel yoyote inayoonyesha hbr kuhusu msiba huu.ahsanteni

Mmh kuhusu channel kuonyesha msiba wa adam sina uhakika sana, ila nina uhakika kuwa baadhi ya tv stations zimeonyesha habari kwa ufupi kuhusu kifo chake
 
Dah adamu katutoka. Polen familia, polen jerusalem film hasa jb, polen wasanii wote na watz wote. Bwana ametoa na ....
 
Dah adamu katutoka. Polen familia, polen jerusalem film hasa jb, polen wasanii wote na watz wote. Bwana ametoa na ....

Ya jamaa alikuwa jembe sana kwenye kampuni ya jerusalem, nazikumbuka sana movie zake kuanzia FAKE PASTORS,DANIJA,MR KADAMANJA,MIKONO SANA,ULIYEMCHOKOZA KAJA na movie nyingine kibao, jamaa alikuwa jembe sana
 
RIP Adam this week nimeona movie yako mpya ya ULIYEMCHOKOZA KAJA daah so Sad.
 
Ya jamaa alikuwa jembe sana kwenye kampuni ya jerusalem, nazikumbuka sana movie zake kuanzia FAKE PASTORS,DANIJA,MR KADAMANJA,MIKONO SANA,ULIYEMCHOKOZA KAJA na movie nyingine kibao, jamaa alikuwa jembe sana

nimesikia alifunga ndoa na JANETH RITE huyu mama ni diwani wa kunduchi kupitia chadema, je alikuwa bado anaishi naye?
 
Dah huyo jamaa kwenye udirector alikuwa so smart leta news mdau.
 
Huyu bwana si ndie alicheza picha na Ray inaitwa fake pastors? Au naona kwa makengeza? Kama ndie alikuwa muigizaji mzuri tena sana. Tasnia ya filamu imepoteza mtu makini na muhimu.

yap ndiye yeye
 
nimesikia alifunga ndoa na JANETH RITE huyu mama ni diwani wa kunduchi kupitia chadema, je alikuwa bado anaishi naye?

Umbea wa huyu jamaa ni mrefu , kwa kuwa ameshatangulia mbele ya haki , si vyema kumchumba sana, ila nakumbuka kuna kipindi alishawahi kuishi kunduchi , alikuwa anaoenakana viwanja vya uko mara nyingi tu ,na alikuwa akiishi na kimada ila badae akahama na hakujulikana alikuwa akiishi wapi had mauti ilipomkuta, ila niliwahi kusikia ana mke na watoto , ila badae ndo ntaenda ku confirm yote kwenye eneo la tukio pamoja na hyo nyumba inayosemekana ni yake iliyopo bunju b
 
Mwenyekiti wa kamati ya Mazishi ni nani?
  • HUEANDA akawa ni Steve Nyerere
Pia Steve Nyerere amedai kuwa marehemu Adam Kuambiana alikuwa na matatizo ya tumbo ambayo ndo yadaiwa chanzo cha kifo chake. “Marehemu alikuwa anasumbuliwa na tumbo tu, yani alikuwa anasumbuliwa na vidonda vya tumbo na hivyo ilivyotokea.”

Chanzo
 
Asante kwa taarifa mkuu...
 
Duh kweli Bongo Movies hazilipi hadi nyumba 'msanii mkubwa' anashindwa kumiliki????????
 
kama msanii mkubwa kama marehem steve hakuwa na nyumba sembuse huyu jamaa?, kujenge sio m@tak0 useme kila mtu anayo

Lakin hapana mbona nilionaga kwenye kideo Wema Sepetu amenunua nyumba ya Million 400 fedha za Kitanzania..

Inaonekana muvi zake zinauzika sana hadi akaweza kumiliki nyumba ya bei hiyo na kampuni juu!
Itakua inategemea msanii na msanii
 
Mmmh, ngoja tubaki huku huku kwanza kwa hawa wasanii wetu wa kiume, nijuavyo mimi ma producer ndo wana uwezo kiasi wa kifedha in such a way hata wakijitutumua kujenga kibanda wanaweza kwa kweli, sema wengi wao sio wavumilivu na hawana matumiz mazuri ya kifedha, msanii kama ray anamilik gar la zaid ya tsh mil 40, sasa apo akisema ajitutumue kununua kiwanja na kujenga kibanda taratibu anaweza, maana ki ukweli ma producer wana unafuu kifedha kuliko wasanii wa kawaida, hawa wasanii hawana kitu kabisa show off za bure tu, ma producer mil kumi au ishirin wanazishika sana tu in such a way hata wakiamua kujenga wanaweza, maana karibia ma producer wote wanamilik magar ya thaman isiyopungua million kumi so wakiamua kujenga wanaweza
 
Sijui kwanini sijaipenda hii picha ambayo marehemu kapaka sijui ma breach.....mtanisamehe!!!!
 
picha hiyo ya janeth rite akiwa na marehemu kuambiana,
 
Attachments

  • 1400423947983.jpg
    23.5 KB · Views: 924
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…