Ndo naelekea kwenye tukio aiseeh Ruttashobolwa, Dinazarde, TATIANA, snipa, Heaven on Earth, geniveros, lusungo, Evelyn Salt, qn of sheba, matumbo, Stanley Mitchell, miss strong, Mrembo by Nature
Kwani Ray na yeye hajajenga?
Anakaa kwenye nyumba ya mama yake, nadhani bado mama yake anaishi humo humo, ni sinza nyuma ya Johanesburg Hotel kabla aujafika Masjid Qubah Islamic School ..
KINGINE????
Hahahaha DEMBA Wema sidhani kama atazimia zaidi ya mara moja maana sidhani kama huyu kamgusa sana zaidi ya kuwa Msanii mwenzie.
me naumwa binam, ukiona kimya kinazidi usisite kuweka tanziaNdo naelekea kwenye tukio aiseeh Ruttashobolwa, Dinazarde, TATIANA, snipa, Heaven on Earth, geniveros, lusungo, Evelyn Salt, qn of sheba, matumbo, Stanley Mitchell, miss strong, Mrembo by Nature
me naumwa binam, ukiona kimya kinazidi usisite kuweka tanzia
2mia akil unavopost au unataka 2chekekama msanii mkubwa kama marehem steve hakuwa na nyumba sembuse huyu jamaa?, kujenge sio m@tak0 useme kila mtu anayo
Binamu come this way tunasubir tuu kupata hizo updates
asante mamiiPole dear.. wishing you a quick recovery.
NDo nimetoka eneo la tukio binamu, yaani hakuna watu hata kidog , nadhan waliokuwepo ni ndugu wa karibu na familia, nadhani ni kutokana na mda nilioeenda na umbali wa eneo la tukio, maana kuna ka umbali kutoka barabaran had kwenye msiba
Kingine watu wengi hawamjui adam kuambina, hata majiran wa uko bunju maana nilipata shida sana kufika, yaan hakuna aliyekuwa akimjua adam maeneo yale, nadhan hakuwa mwenyej sana maeneo yale, mengine madogo madog ntaongea kesho maana choka mbaya apa
Cc: TATIANA, Mrembo by Nature, Ruttashobolwa, lusungo, Dinazarde, @qn od sheba, ladykims, geniveros