Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

Kweli niko nje ya wasanii. Simfahamu huyu sikusikia umaarufu wake. R. I . P
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana Jerusalem films,wasanii wote wa Bongo movies,ndugu wa marehemu na marafiki jamaa zake na wapenzi wote wa sinema za hapa nyumbani. Sisi tuliobaki tunapaswa kujiuliza tukiondoka tunataka tukumbukwe kwa yepi?
 
Anakaa kwenye nyumba ya mama yake, nadhani bado mama yake anaishi humo humo, ni sinza nyuma ya Johanesburg Hotel kabla aujafika Masjid Qubah Islamic School…..
KINGINE????

Hivi mbona mtu kama Cheni yeye ana maendeleo makubwa tu. Ingawa hajigambi kama hawa wengine au sijui kapevuka.
Yeye soko la movies zake ni wapi ili awatoe na wadogo zake?
 
sijui wema atakuwa amezimia mara ngapi hadi sasa. maana yule naye ni mzee wa fursa
Hahahaha DEMBA Wema sidhani kama atazimia zaidi ya mara moja maana sidhani kama huyu kamgusa sana zaidi ya kuwa Msanii mwenzie.
 
Last edited by a moderator:
MKuu warumi vipi nawewe umezimia?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha DEMBA Wema sidhani kama atazimia zaidi ya mara moja maana sidhani kama huyu kamgusa sana zaidi ya kuwa Msanii mwenzie.

wema alivyo attention seeker azimie mara moja! thubutuu! unamjua wema unamsikia wewe! fursa hii kwake lazima afanye jina lake liwe midomoni mwa watu hapo msibani na magazetini pia.
 
Binamu come this way tunasubir tuu kupata hizo updates

NDo nimetoka eneo la tukio binamu, yaani hakuna watu hata kidog , nadhan waliokuwepo ni ndugu wa karibu na familia, nadhani ni kutokana na mda nilioeenda na umbali wa eneo la tukio, maana kuna ka umbali kutoka barabaran had kwenye msiba

Kingine watu wengi hawamjui adam kuambina, hata majiran wa uko bunju maana nilipata shida sana kufika, yaan hakuna aliyekuwa akimjua adam maeneo yale, nadhan hakuwa mwenyej sana maeneo yale, mengine madogo madog ntaongea kesho maana choka mbaya apa
Cc: TATIANA, Mrembo by Nature, Ruttashobolwa, lusungo, Dinazarde, @qn od sheba, ladykims, geniveros
 
Sasa steve kulia kote kule kumbe hata msibani hayuko?? Heh kweli kila mwenda msibani ana agenda yake. Nimemuona steve akikagua majeneza teh teh usishangae jeneza bei yake ikawa M.10 kwa bei ya steve.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom