Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

Mie nawashangaa nyie mnaosubiri kupima umaarufu kwa kuangalia kiongozi gani atahudhuria msibani

Subir utashangaa mengi tu mbona hii cha mtoto tu??, leo mchana natia maguu kama kawa so subir ushangae vizur hili mbona cha mtoto
 
Subir utashangaa mengi tu mbona hii cha mtoto tu??, leo mchana natia maguu kama kawa so subir ushangae vizur hili mbona cha mtoto

Binamu ningekuwa na kampuni yangu ya habari za udaku ningekuajiri at any cost...nakukubali mnooooo
 
Binamu ningekuwa na kampuni yangu ya habari za udaku ningekuajiri at any cost...nakukubali mnooooo

huyu jamaa kazi anaiweza, mtu M1 kama wako mia 1 vile
hata hivyo kuna wadau humu wanamdis na kutotambua mchango wake!
Wao wanataka copy za GPL, wakati mpya anatupa vitu na maganda yake, tunakuwa wa kwanza kujua mitikiso ya jiji
 
Umeona eeh...yaani acha kabisa mi nathamini Sana mchango wake.... Gossipcopwarumi upo juuu balaa
 
Last edited by a moderator:
huyu jamaa kazi anaiweza, mtu M1 kama wako mia 1 vile
hata hivyo kuna wadau humu wanamdis na kutotambua mchango wake!
Wao wanataka copy za GPL, wakati mpya anatupa vitu na maganda yake, tunakuwa wa kwanza kujua mitikiso ya jiji

Dah!umeona eeeh!mi pia namkubali sana,hao wanaompona wanatafta umaarufu tu,mbona post zake wanasoma,yaleyale wanampenda moyoni,wanamchukia usoni.Mi siku hz hata gpl siingii kwenye blog yao!kwanza waongo ila warumi vya ukwee...!
 
Hihiiiii ahsante wangu
 
Nimemuona Steve analiaa mbele ya camera mmhhhhhh tutasikia na kuona mengiiii, sipati picha Wema muda wake umefika wa kuongolewaa sasaa
 
Sasa steve kulia kote kule kumbe hata msibani hayuko?? Heh kweli kila mwenda msibani ana agenda yake. Nimemuona steve akikagua majeneza teh teh usishangae jeneza bei yake ikawa M.10 kwa bei ya steve.

Kumbe hako kajamaa kanatumia fursa kwenye misiba ya wenzieee
 
Nimepitwaaa ubuyuuuu

Kwenye misiba ya mastaa raha aiseeh, yaan nimepta ma ubuyu mazito had natetemeka duuh, watu wana ma siri ya watu binamu, kuna hii nimeipata sema tu muhusika mwenyewe katangulia mbele ya haki(sio adam) ni mwingine kabisa ila ni staa wa muzik wa band , sema ngoja nikusanye leo ma ubuyu mengine, maana binamu kuna watu wambeya asieeh warumi anasubir mhh, ngoja nijiandae leo niwah eneo la tukio maana leo watu watajaa si unajua kesho wanazika? Leo nipo tayar hata kulala aiseeh nipate maubuyu vizur, maana ni shidaa
 
Last edited by a moderator:

Aisee nasubiria hayo maubuyuuu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…