TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
yaeh ana nyumba pia........
Za asubuhi mrembo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaeh ana nyumba pia........
Alikuwa sipendeki marehemu..watu walikubali kazi yake ila yeye hawakumpenda....Ata Sajuki amemfunika.
Mie nawashangaa nyie mnaosubiri kupima umaarufu kwa kuangalia kiongozi gani atahudhuria msibani
Subir utashangaa mengi tu mbona hii cha mtoto tu??, leo mchana natia maguu kama kawa so subir ushangae vizur hili mbona cha mtoto
bora uulize!
Binamu ningekuwa na kampuni yangu ya habari za udaku ningekuajiri at any cost...nakukubali mnooooo
Hahhhhaaaa afadhal unisaidie shoga yanguu
Binamu ningekuwa na kampuni yangu ya habari za udaku ningekuajiri at any cost...nakukubali mnooooo
huyu jamaa kazi anaiweza, mtu M1 kama wako mia 1 vile
hata hivyo kuna wadau humu wanamdis na kutotambua mchango wake!
Wao wanataka copy za GPL, wakati mpya anatupa vitu na maganda yake, tunakuwa wa kwanza kujua mitikiso ya jiji
huyu jamaa kazi anaiweza, mtu M1 kama wako mia 1 vile
hata hivyo kuna wadau humu wanamdis na kutotambua mchango wake!
Wao wanataka copy za GPL, wakati mpya anatupa vitu na maganda yake, tunakuwa wa kwanza kujua mitikiso ya jiji
Dah!umeona eeeh!mi pia namkubali sana,hao wanaompona wanatafta umaarufu tu,mbona post zake wanasoma,yaleyale wanampenda moyoni,wanamchukia usoni.Mi siku hz hata gpl siingii kwenye blog yao!kwanza waongo ila warumi vya ukwee...!
Mana alisemwa alivyokuwa hai,na yashapita,mbibi anakumbusha leo!
Sasa steve kulia kote kule kumbe hata msibani hayuko?? Heh kweli kila mwenda msibani ana agenda yake. Nimemuona steve akikagua majeneza teh teh usishangae jeneza bei yake ikawa M.10 kwa bei ya steve.
Hihiiiii ahsante wangu
Nimepitwaaa ubuyuuuu
Kwenye misiba ya mastaa raha aiseeh, yaan nimepta ma ubuyu mazito had natetemeka duuh, watu wana ma siri ya watu binamu, kuna hii nimeipata sema tu muhusika mwenyewe katangulia mbele ya haki(sio adam) ni mwingine kabisa ila ni staa wa muzik wa band , sema ngoja nikusanye leo ma ubuyu mengine, maana binamu kuna watu wambeya asieeh warumi anasubir mhh, ngoja nijiandae leo niwah eneo la tukio maana leo watu watajaa si unajua kesho wanazika? Leo nipo tayar hata kulala aiseeh nipate maubuyu vizur, maana ni shidaa