Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia


do the needful pls
 
Msanii wa muziki Aboubakar Katwila aliyekuwarafiki wa karibu wa marehemu Adam Philip Kuambiana, amedai kuwa kabla ya kifo cha rafikiyake, alilalamika maumivu ya tumbo ambapoIjumaa iliyopita alikuwa akilalamika maumivu yatumbo na kuharisha damu. Akizungumza na Ijumaa Wikienda alisema: "Jana(ijumaa) jioni Kuambiana na wasanii wenzakewalikuwa baa wakinywa pombe hadi usiku wamanane lakini bado akiendelea kulalamikamaumivu ya tumbo.

Wenzake walimuuliza ni kwanini alikuwa anaendelea kunywa pombe wakatianaumwa? Akawaambia wamuache. Baada yakumaliza kunywa kila mmoja alikwenda kulalachumbani kwake huku tukiahaidiana kwambaitapofika saa 3:00 asubuhi tuwe tayari kwakwenda location. Lakini ilipofika muda huo sisitukiwa tayari kwa safari tulikwenda kugongamlango wa chumba chake bila mafanikio.

Cha kushangaza alisikika sauti yake kwa mbaili,kwa bahati nzuri mlango wake ulikuwa wazi,mmoja akaingia ndani na kumkuta ameangukachooni na hajiwezi. Neno lake la mwisho alisemakwamba anajisikia kuishiwa nguvu na anaharishadamu. Kutokana na hali yake hiyo mbayatulimbeba na kumlaza kitandani kasha tukatafutagari na kumkimbiza Hospitali ya Mama Ngoma ambapo daktari alisema alishafariki dunia mudamrefu,"alisema Q ChillahQ Chillah ambaye alikuwa mhusika na filamumpya ya ‘Joto' ya marehemu Adam Kuambianaamedai kuwa marehemu alisema kuwa filamuhiyo ambayo waalikuwa wanaifanya ingekuwa yamwisho kwake."

Nimeumia sana kwani hii filamu ndiyo ilikuwaapate fedha nyingi sana kwa sababu ni yak wakemwenyewe na ni kali mno, amecheza vizuriakinishirikisha mimi. Lakini ndiyo hivyo tenaimeishia katikati sijui ni nani ataiendeleza maanamwenyewe katuachia majonzi," aliongeza QChillah.

Historia fupi ya Adam KuambianaMarehemu Adam Philip Kuambiana alizaliwamwaka 1976 Ifunga Mkoani Iringa, alipata elimuya msingi katika shule ya Mlimani Jijini Dar nabaade sekondari ya Tambaza kisha akahamia jijini Nairobi kwenda kusoma kidato cha tano nasita baada ya hapo alielekea Afrika Kusini kupataelimu ya filamu na baada hapo alikuwa fiti katikauwigizaji, uongozaji na pia alikuwa mwandishiwamiswada ya filamu.

Miongoni mwa filamu ambazo amerehemuametiamikono yake kwa kiwango kikubwa ni pamoja naFake Pastor, Life of Sandra,Danija,regina, Faith ,More Fire,Scora, Lost Son, My Fience, Jesica, Basilisa, NoBody, Chaguo Langu na nyingine nyingi.
 
Binamu ningekuwa na kampuni yangu ya habari za udaku ningekuajiri at any cost...nakukubali mnooooo

yaaaaani acha tuu binamu huyu warumi aishi miaka 800 .......tunapata habari za mujini bila tatizo na kwa muda muafaka
 
Last edited by a moderator:
GPL ina waandishi mpka wahariri makanjanja ,Kenya kidato cha 5 na 6 wapi na wapi.

Nijuavyo mimi system ya elimu ya kenya ni kuanzi la 1-8 then form 1-4 then chuo, sasa hiyo five na six aisee waandish wenzangu mmeniaibisha, nyie ndo mnafanya waandishi wote wa udaku tuonekane hatujaenda shule mnatuaibisha kwa kweli aiseeh, mrud shule mkasome siku izi kila mtu mbea tatizo ni jinsi ya kuandika na kuwasilisha umbea kwa namna yake , ila may be ni typing error next time watajirekebisha maana mda mwingine mtu unakuwa na shauku ya kuandika habar hvyo hata unapokosea huoni
 

Tup bwana hata kwa siri tafadhali,mana mate yamenijaaa!mi ujue nakukuballi sanaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Mwigizaji na muongozaji wa filamu hapa Tanzania ADAM PHILIP KUAMBIANA amefariki Dunia muda huu muda sio mrefu nitarudi baadae kwa Habari zaidi ....







Safari ya kwenda kwa marehemu Bunju imeanza
 

Attachments

  • 1400499861920.jpg
    48.7 KB · Views: 274
  • 1400499918417.jpg
    47.1 KB · Views: 261
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…