Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Kwenye misiba ya mastaa raha aiseeh, yaan nimepta ma ubuyu mazito had natetemeka duuh, watu wana ma siri ya watu binamu, kuna hii nimeipata sema tu muhusika mwenyewe katangulia mbele ya haki(sio adam) ni mwingine kabisa ila ni staa wa muzik wa band , sema ngoja nikusanye leo ma ubuyu mengine, maana binamu kuna watu wambeya asieeh warumi anasubir mhh, ngoja nijiandae leo niwah eneo la tukio maana leo watu watajaa si unajua kesho wanazika? Leo nipo tayar hata kulala aiseeh nipate maubuyu vizur, maana ni shidaa
do the needful pls