Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Labda tatizo kubwa hapa ni uelewa tu, jf lipo jukwaa rasmi kabisa la udaku gossip and likes.Hapa tunataka umbea tu sie masharti ya uandishi yanahusika sijui jukwaa la lugha au wapi mi sijui...
Udaku ukiletwa hapa hata kama maneno hamna space tutamulika na kusoma tu
Cheni ana maendeleo gani kwani ya maana?
Achana naye binamu mpuuzie tuNimempa kubwa eti anajifanya mwl wa kiswahili,aende zake huko.Ajipange la sivyo ntampanga.Kwani kukaa karibu na mahakama ndo kujua uhakimu?hata km umejiunga siku waliyoanza jf ni ya wote,we na mi nlojiunga juzi!usipojihesabu tutakuhesabu!
Ntunashukuru kwa updates
ingawa jana nilicheka sana nilisoma magazeti ya udaku
eti steve nyerere na batuli waliongoza kwa kulia
Ntunashukuru kwa updates
ingawa jana nilicheka sana nilisoma magazeti ya udaku
eti steve nyerere na batuli waliongoza kwa kulia
Hapa tunataka umbea tu sie masharti ya uandishi yanahusika sijui jukwaa la lugha au wapi mi sijui...
Udaku ukiletwa hapa hata kama maneno hamna space tutamulika na kusoma tu
Ntunashukuru kwa updates
ingawa jana nilicheka sana nilisoma magazeti ya udaku
eti steve nyerere na batuli waliongoza kwa kulia
Hapa tunataka umbea tu sie masharti ya uandishi yanahusika sijui jukwaa la lugha au wapi mi sijui...
Udaku ukiletwa hapa hata kama maneno hamna space tutamulika na kusoma tu
hii kali stivi huyu jamaa siku atakayodondoka watu inabidi wafanye uchaguzi chini ya uangalizi maalumu wa waangalizi huru wa kimataifa maana najua msiba wake utagombewa sana ktk nafasi ya mwenyekiti
halafu mbona itv hawajaonyesha hata kidogo kwenye taarifa ya habari? Nimekaa nasubiri kuona mazishi ya Adam hadi habar inaisha hakuna kitu. Wanabifu au yeye( Adam) si msanii?
itv hawaoneshi bunge kitu ambacho ni cha maana halafu unahoji kutotoa airtime ya dead body?
mazishi ya sharo, kanumba yalionyeshwa kwenye taarifa ya habari ila Adam hata hawajagusia.
Siyo kuonyesha kama kipindi but hata kwenye habari tu hawajaonyesha. Nimeshangaa maana karibu misiba yote wanatoa ila huu tu. Ndo najiuliza kunani?
Labda hawamjuiiiii