Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

Hapa tunataka umbea tu sie masharti ya uandishi yanahusika sijui jukwaa la lugha au wapi mi sijui...
Udaku ukiletwa hapa hata kama maneno hamna space tutamulika na kusoma tu
Labda tatizo kubwa hapa ni uelewa tu, jf lipo jukwaa rasmi kabisa la udaku gossip and likes.
 
Nimempa kubwa eti anajifanya mwl wa kiswahili,aende zake huko.Ajipange la sivyo ntampanga.Kwani kukaa karibu na mahakama ndo kujua uhakimu?hata km umejiunga siku waliyoanza jf ni ya wote,we na mi nlojiunga juzi!usipojihesabu tutakuhesabu!
Achana naye binamu mpuuzie tu
 
Ntunashukuru kwa updates

ingawa jana nilicheka sana nilisoma magazeti ya udaku

eti steve nyerere na batuli waliongoza kwa kulia
 
Hapa tunataka umbea tu sie masharti ya uandishi yanahusika sijui jukwaa la lugha au wapi mi sijui...
Udaku ukiletwa hapa hata kama maneno hamna space tutamulika na kusoma tu

hahahaaaaaaaa!
 
Ntunashukuru kwa updates

ingawa jana nilicheka sana nilisoma magazeti ya udaku

eti steve nyerere na batuli waliongoza kwa kulia

hii kali stivi huyu jamaa siku atakayodondoka watu inabidi wafanye uchaguzi chini ya uangalizi maalumu wa waangalizi huru wa kimataifa maana najua msiba wake utagombewa sana ktk nafasi ya mwenyekiti
 
Duh umu ndani kimya hata updates hakuna nilijua leo yatamwagwa mapicha umu na habari zote ila kila nnapoenda kimya.
 
R.I.P Adam Kuambiana;
Pole wafiwa wote.

Pole sana kipenzi chake
Najua ataniona kwa kuwa yuko hapa jf.
 
Duh umu ndani kimya hata updates hakuna nilijua leo yatamwagwa mapicha umu na habari zote ila kila nnapoenda kimya.

Haya mkuu picha hizi
 
Attachments

  • 1400586271672.jpg
    1400586271672.jpg
    40.3 KB · Views: 265
  • 1400586284703.jpg
    1400586284703.jpg
    52 KB · Views: 258
  • 1400586299733.jpg
    1400586299733.jpg
    53.9 KB · Views: 246
  • 1400586322648.jpg
    1400586322648.jpg
    43.4 KB · Views: 245
  • 1400586352467.jpg
    1400586352467.jpg
    66.6 KB · Views: 237
Haya mkuu picha hizi

Hii ndio ilikuwa safari ya mwisho ya hapa duniani ya mwigizaji nguli wa filamu hapa nchini...Adam Philip kuambiana mungu ampe pumziko la amani taa ya milele imwangazie....amen
 
Attachments

  • 1400590636546.jpg
    1400590636546.jpg
    57.3 KB · Views: 253
  • 1400590649237.jpg
    1400590649237.jpg
    91.1 KB · Views: 242
hii kali stivi huyu jamaa siku atakayodondoka watu inabidi wafanye uchaguzi chini ya uangalizi maalumu wa waangalizi huru wa kimataifa maana najua msiba wake utagombewa sana ktk nafasi ya mwenyekiti

mie nilibaki hoi........
 
halafu mbona itv hawajaonyesha hata kidogo kwenye taarifa ya habari? Nimekaa nasubiri kuona mazishi ya Adam hadi habar inaisha hakuna kitu. Wanabifu au yeye( Adam) si msanii?
 
halafu mbona itv hawajaonyesha hata kidogo kwenye taarifa ya habari? Nimekaa nasubiri kuona mazishi ya Adam hadi habar inaisha hakuna kitu. Wanabifu au yeye( Adam) si msanii?

itv hawaoneshi bunge kitu ambacho ni cha maana halafu unahoji kutotoa airtime ya dead body?
 
itv hawaoneshi bunge kitu ambacho ni cha maana halafu unahoji kutotoa airtime ya dead body?

mazishi ya sharo, kanumba yalionyeshwa kwenye taarifa ya habari ila Adam hata hawajagusia.
Siyo kuonyesha kama kipindi but hata kwenye habari tu hawajaonyesha. Nimeshangaa maana karibu misiba yote wanatoa ila huu tu. Ndo najiuliza kunani?
 
Labda hawamjuiiiii
 
Labda hawamjuiiiii

Adam aliKuwa anafahamika zaidi na wasanii wenzie kwa sababu ndo alikuwa anafanya nao kazi sana na alikuwa akifanya kazi nyuma ya camera(director), na hakuwa akiigiza sana ndo maana wengi hawamjui
 
Back
Top Bottom