Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,763
- 766
Ulivyotaja Jini Kabula tu akaja Mr.Chuz(Tuesday Kiangala) na Ruta Bushoke kwenye akili yangu na ukimtaja Chuz tu Jack Pentezel huyu hapa Daaaaaa Hii kitu hii kitu hiiiii.
kuna thread mmemsema sana mara mwizi,sasa imekuwa ulikuwa unapenda sauti yake!
kuna thread mmemsema sana mara mwizi,sasa imekuwa ulikuwa unapenda sauti yake!
Kwa hiyo, ,,,,, ,,,
kama kuna sifa nzuri,mtu apewe akiwa haiKwa hiyo, ,,,,, ,,,
kama kuna sifa nzuri,mtu apewe akiwa hai
Tushasema sasa mbona we humsifii!!!ni kweli alikua mwizii lakin ana sauti nzurii
alikua Mwiz wa nini sasa funguka...
Chochote kile hata kijiko alipitiaa si usome thread yake bwanaa
Chochote kile hata kijiko alipitiaa si usome thread yake bwanaa
Mwenyekiti wa kamati ya Mazishi ni nani?