Msanii wa filamu Mainda yuko wapi?

Msanii wa filamu Mainda yuko wapi?

Yuko Instagram huko anajifanya ameokoka kutwa kutoa mistari ya biblia na Picha yuko kanisani kama mlokole kweli! Lkn vivazi anavyovaa Majanga..!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wanajamii mnisamehe tu lakini sina budi kuuliza hata jukwaani yamkini nitasaidiwa. Msanii huyu aitwaye jina la usanii Mainda siku nyingi sijamuona akishiriki katika filamu yuko wapi jamani? Siyo siri mimi ni mshabiki wake napenda uigizaji wake. Nimekosa nimtafutie wapi lakini katika jukwaa naamini wapo wenye taarifa zake nisaidieni hata kama kuna uwezekano wa kupata contacts zake nitashukuru ili nafsi yangu ipate kuridhika. Sina nia ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi bali ni kutaka kujua tu wapi siku hizi shughuli zake za uingizaji anafanyia ili niwe naangalia huwa nafurahishwa sana actions zake.

Wanajamii naomba msaada wenu.

Mi najua unapenda vile anavyotembea kwa kujibunua binua kama drums,!
 
Wanajamii mnisamehe tu lakini sina budi kuuliza hata jukwaani yamkini nitasaidiwa. Msanii huyu aitwaye jina la usanii Mainda siku nyingi sijamuona akishiriki katika filamu yuko wapi jamani? Siyo siri mimi ni mshabiki wake napenda uigizaji wake. Nimekosa nimtafutie wapi lakini katika jukwaa naamini wapo wenye taarifa zake nisaidieni hata kama kuna uwezekano wa kupata contacts zake nitashukuru ili nafsi yangu ipate kuridhika. Sina nia ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi bali ni kutaka kujua tu wapi siku hizi shughuli zake za uingizaji anafanyia ili niwe naangalia huwa nafurahishwa sana actions zake.

Wanajamii naomba msaada wenu.

Yupo ameokoka siku hzi muda wake mwingi anautumia kanisani, msearch instagram anajiita maindasmallbaby
 
Ndo kazi anayoifanya instagram
 
Attachments

  • 1391089808391.jpg
    1391089808391.jpg
    38.7 KB · Views: 207
Inawezekana wengi ya wanawake wanaojidai wameokaka wana yao,

Lingine unalikuta Lina watoto wawili baba tofauti na wote wanawasiliana na anasuburi eti ataonyeshwa mume mwema mwingine!

Ingia makanisa ya kilokole utachoka asilimia 99% ya wadada Ni maa single mama!!!
Bora yao lakini.
 
Mainda is one of the best actress in Tanzania. Among the most talented to be honest. Far better than Tonto Dike of Nigeria. But karma is not fate as they say.

Karma? Can u elaborate for me please
 
Back
Top Bottom