Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Siku izi topic zake ni yesu tuu
hata wewe yesu akuokoe uwe kiumbe kipya ndipo hutapata muda wa kujua habari za akina mainda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku izi topic zake ni yesu tuu
Wanajamii mnisamehe tu lakini sina budi kuuliza hata jukwaani yamkini nitasaidiwa. Msanii huyu aitwaye jina la usanii Mainda siku nyingi sijamuona akishiriki katika filamu yuko wapi jamani? Siyo siri mimi ni mshabiki wake napenda uigizaji wake. Nimekosa nimtafutie wapi lakini katika jukwaa naamini wapo wenye taarifa zake nisaidieni hata kama kuna uwezekano wa kupata contacts zake nitashukuru ili nafsi yangu ipate kuridhika. Sina nia ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi bali ni kutaka kujua tu wapi siku hizi shughuli zake za uingizaji anafanyia ili niwe naangalia huwa nafurahishwa sana actions zake.
Wanajamii naomba msaada wenu.

alukuwa na kifua kilicho nivutia kwakweliNdo kazi anayoifanya instagram
Nasikia kaliukwaa....
Bora yao lakini.Inawezekana wengi ya wanawake wanaojidai wameokaka wana yao,
Lingine unalikuta Lina watoto wawili baba tofauti na wote wanawasiliana na anasuburi eti ataonyeshwa mume mwema mwingine!
Ingia makanisa ya kilokole utachoka asilimia 99% ya wadada Ni maa single mama!!!
Uuwwiiiiiiiie yeuwuiiiiiiii auwiiijiiiii yeuwuiiiiiiiNasikia kaliukwaa....
Bora yao lakini.
Ndio maisha wameyachagua.Kwa unafki!
Mainda is one of the best actress in Tanzania. Among the most talented to be honest. Far better than Tonto Dike of Nigeria. But karma is not fate as they say.
Hakuukwaa boy friend wake Max wa Mizengwe alifariki kwa ugonjwa mwingine tu maraia wakazusha ni....... She is not positive labda aupate sasa.Nasikia kaliukwaa....
Kindly googleKarma? Can u elaborate for me please
Ukiona manyoyaaa......Siku izi topic zake ni yesu tuu