Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Instagram anatumia chemical_tzBinafsi nazikubali kiaina kazi za huyu msanii "Chemical" yuko njema sana kwenye michano,hakika akipata promo ya uhakika atatoboa,(Chibu hebu msaini huyu binti WCB)nimejaribu kumtafuta instagram sijui anatumia jina gani?
baadhi ya ngoma zake ni 'sielewi ft Saprano,iam sorry mama,na ngoma inayo hit sasa hivi ni mary mary'
Ila apunguze u "tomboy" au ndo defence mechanism ili aendelee kuitunza bikira yake?..
Pata details kwanza mkuuHuyu si ndio yule alimtongoza Stereo live kwenye TV?!
Stereo akabaki kung'atang'ata vidole bila kutoa jibu.
WCB,,,,,,,,, watampoteza wapaka poda haoBinafsi nazikubali kiaina kazi za huyu msanii "Chemical" yuko njema sana kwenye michano,hakika akipata promo ya uhakika atatoboa,(Chibu hebu msaini huyu binti WCB)nimejaribu kumtafuta instagram sijui anatumia jina gani?
baadhi ya ngoma zake ni 'sielewi ft Saprano,iam sorry mama,na ngoma inayo hit sasa hivi ni mary mary'
Ila apunguze u "tomboy" au ndo defence mechanism ili aendelee kuitunza bikira yake?..
[emoji23][emoji23][emoji23]alikua anajaribu kupaka CHEMICAL kwenye STEREO yake [emoji124]Huyu si ndio yule alimtongoza Stereo live kwenye TV?!
Stereo akabaki kung'atang'ata vidole bila kutoa jibu.
ndio yeyee.. stereo akapga na magoti kabsa jinsi alivomzimia hahahhHuyu si ndio yule alimtongoza Stereo live kwenye TV?!
Stereo akabaki kung'atang'ata vidole bila kutoa jibu.
Tehe tehe!!!Huyu si ndio yule alimtongoza Stereo live kwenye TV?!
Stereo akabaki kung'atang'ata vidole bila kutoa jibu.
Stereo ndo alikua anamtongoza kupitia media asee...Huyu si ndio yule alimtongoza Stereo live kwenye TV?!
Stereo akabaki kung'atang'ata vidole bila kutoa jibu.