Msanii wa hiphop mwanadada Chemical..

Msanii wa hiphop mwanadada Chemical..

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Binafsi nazikubali kiaina kazi za huyu msanii "Chemical" yuko njema sana kwenye michano, hakika akipata promo ya uhakika atatoboa,(Chibu hebu msaini huyu binti WCB)nimejaribu kumtafuta instagram sijui anatumia jina gani?

Baadhi ya ngoma zake ni 'sielewi ft Saprano,Biam sorry mama,Bna ngoma inayo hit sasa hivi ni mary mary'

Ila apunguze u "tomboy" au ndo defence mechanism ili aendelee kuitunza bikira yake?..
 
Binafsi nazikubali kiaina kazi za huyu msanii "Chemical" yuko njema sana kwenye michano,hakika akipata promo ya uhakika atatoboa,(Chibu hebu msaini huyu binti WCB)nimejaribu kumtafuta instagram sijui anatumia jina gani?
baadhi ya ngoma zake ni 'sielewi ft Saprano,iam sorry mama,na ngoma inayo hit sasa hivi ni mary mary'

Ila apunguze u "tomboy" au ndo defence mechanism ili aendelee kuitunza bikira yake?..
Instagram anatumia chemical_tz
 
Heyo papu mwana lubavu kama (sijakoseaa) nakumbuka nilishasoma na demu mmoja hivi dahhh yaani alikuwa hana sketi kabisa mpaka tulienda chuo flani kule maswa wadada wa kule wakasema hatuwezi kulala na hili dume nilichekaga kinoma
 
Huyu chemical atakuwa pia na nyota ya kupendwa. Namkubali sana. Nimegundua pia kichwan yuko vizuri sana. Najarib kufukunyua kumjua vzuri kama shabik wake ambaye sijawai muona live. Wapi amejipambanua nisome. Ni nyota yetu hii sema kwa kujikalisha kiume sitashangaa promo znapungua na wanapewa wa kujiboost na mashedo.
 
Huyu si ndio yule alimtongoza Stereo live kwenye TV?!

Stereo akabaki kung'atang'ata vidole bila kutoa jibu.
 
Huyu si ndio yule alimtongoza Stereo live kwenye TV?!

Stereo akabaki kung'atang'ata vidole bila kutoa jibu.
Pata details kwanza mkuu

Stereo ndio alitongoza,,,, au ndio mnaandika hivyo huko kwenu?
 
Kiukweli ingawa simfahamu kiundani Chemical, ila anajitahidi sana kuchana,ana ladha flani hivi katika michano yake.Niliambiwa na mtu kua anasoma UD mwaka wa tatu sijui kama ni kweli lakini.
 
Binafsi nazikubali kiaina kazi za huyu msanii "Chemical" yuko njema sana kwenye michano,hakika akipata promo ya uhakika atatoboa,(Chibu hebu msaini huyu binti WCB)nimejaribu kumtafuta instagram sijui anatumia jina gani?
baadhi ya ngoma zake ni 'sielewi ft Saprano,iam sorry mama,na ngoma inayo hit sasa hivi ni mary mary'

Ila apunguze u "tomboy" au ndo defence mechanism ili aendelee kuitunza bikira yake?..
WCB,,,,,,,,, watampoteza wapaka poda hao
 
Huyu si ndio yule alimtongoza Stereo live kwenye TV?!

Stereo akabaki kung'atang'ata vidole bila kutoa jibu.
ndio yeyee.. stereo akapga na magoti kabsa jinsi alivomzimia hahahh
 
Wakawaida sana katika Hip hop,Katika kundi la wanawake yupo njema
Mtazamo wangu.
 
Huyu si ndio yule alimtongoza Stereo live kwenye TV?!

Stereo akabaki kung'atang'ata vidole bila kutoa jibu.
Stereo ndo alikua anamtongoza kupitia media asee...
#ufalasanakafanyastereo#
 
Nimemuelewa zaidi alipochange kwenye kisingeli na msaga sumu kwenye Ngoma yao ya ”kama ipo ipo tu" .

Humo amekata mauno sio ya nchi hii aliweka pembeni u-tom boy
 
Back
Top Bottom